Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Asiogope kuwataja wababe wa England.Sema tu "The Gunners"😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiogope kuwataja wababe wa England.Sema tu "The Gunners"😀
Ungemalizia tu kusema AsenoBrazil ina watu sana, Neymar hata asiporudi uwanjani sioni pengo lake pale, wale jamaa wamejaa na mbaya zaidi wanaupiga mwingi kama klabu fulani ya ligi kuu Uingereza
😆😆😆😆Sijui anakwama wapi haka kama anakubali kimoyo moyoAsiogope kuwataja wababe wa England.
Uwe unajitahidi kuweka “source” ya taarifa zako.▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu.
Inasikitisha sana, kosa kubwa katika maisha ya Neymar ni kuzaliwa Brazil. Nchi hii haistahili hiki kipaji chake na soka lake ."