Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa mujibu wa Samia ni kosa la jinai kutamka kwa namna yeyote eti Rais alikosea na hii ni kwa SABABU RAIS HUWA HAKOSEI.
Muktadha wangu ni upi hapa;
Kwanza ni wakosefu wa adabu wale wote wanao jaribu kumhusianisha na makosa yeyote Hayati Magufuli kwa sababu Samia alishasema Rais huwa hakosei!
Pili kwa mujibu wa Katiba yetu Rais ndiye muamuzi wa mwisho kwa lolote lile na aliamlilo yeye ndilo amuzi la mwisho na kwalo hayupo wa kuhoji ama kulisemea tena.
Kwa sababu hizo basi Watanzania yatupasa tuwe na kiasi huku tukirejerea angalizo la Samia kwa Rais kutokukosea.
Vinginevyo, Samia alitudanganya.