Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Katiba yetu inasema Rais hawezi shitakiwa kwa mambo aliyofanya akiwa madarakani hivyo hata akistaafu bado anakua hajafanya kosa lolote.... alimaanisha rais hakosei at the moment akiwa madarakani. Akishaondoka ni sahihi kuchambua matendo yake alipokuwa rais na ambacho hakikuwa kosa wakati ule kinaweza kuwa kosa sasa.
Nchi zingine rais akishamaliza muda wake anaweza kusthtakiwa ni mapungufu ya Katiba yetu inalea upumbavu.
Katiba yetu ndivyo inavyosema kuwa Rais hawezi shitakiwa kwa makosa aliyofanya wakati akitimiza majukumu yake akiwa madarakani.Rais hakosei kwani ni malaika?
Kauli ya kilevi tu.
Sasa kama kweli hakosei kwanini wamempa kinga asishtakiwe?
Kwani hiyo Katiba ilijiandika? Nop, iliandikwa na wajinga.Katiba yetu ndivyo inavyosema kuwa Rais hawezi shitakiwa kwa makosa aliyofanya wakati akitimiza majukumu yake akiwa madarakani.
Hivyo inamaana Rais huwa hakosei. Simple.
Hao walikua wasomi wetu miaka hiyo. Tena akili zao ni timamu kuliko sisi wa sasa.Kwani hiyo Katiba ilijiandika? Nop, iliandikwa na wajinga.
Sasa huu ndomtazamo mbovu sasa wanapoziba mianya ya kuwakosoa wanapokuwa madarakani ndo maana wanafanya makosa makubwa. Wakijua hawata hojiwa.... alimaanisha rais hakosei at the moment akiwa madarakani. Akishaondoka ni sahihi kuchambua matendo yake alipokuwa rais na ambacho hakikuwa kosa wakati ule kinaweza kuwa kosa sasa.
Nchi zingine rais akishamaliza muda wake anaweza kusthtakiwa ni mapungufu ya Katiba yetu inalea upumbavu.