Mikoa mama ya Kanda ya ziwa yani Mwanza, Mara na Kagera inaonekana kujizatiti vyema haswa katika swala la elimu ikifuatiwa na mikoa ya pwani pamoja na kaskazini.
Kwa hiyo kile kitendawili cha mikoa gani inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi hapa Tanzania huenda kikawa kimeteguliwa na sensa ya watu na makazi ya 2022.
Hapa sijui wataalam mnasemaje mf: Kilimanjaro primary 999, secondary 349 shule moja pungufu ya Dar es Salaam wakati population ni 1.8+ ml haifiki ata nusu ya Dar... Au watu wengi Dar watoto wao secondary wanasoma mikoa mingine?