Kwa mujibu wa sheria za nchi, Manara na bi mdogo bado ni mke na mume, ndoa huvunjwa mahakamani. Manara mahakamani mkaanikane ya ndani

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kwa sheria za nchi, ndoa ya Manara na bi mdogo wake waliyevurugana bado ni halali, talaka, kwa sheria za Tanzania, inatolewa mahakamani baada ya mahakama kujiridhisha na sababu za kuomba talaka.

Yale mambo ya kumtamkia mke hayatambuliki kisheria.

Kama gari za Manara lina breki za upepo mpaka dereva apampu, bi mdogo atatuanikia pale kisutu

Manara bado unalo!
 
Sisi waislamu tunamalizana wenyewe hatuendi mahakamani,labda dini zingine,
Yaani mkubaliane wenyewe mkamtaarifu sheikh aweke baraka zake kwa niaba ya ALLAH halafu kuachana twende huko kwa court😳😳😳
 
Sisi waislamu tunamalizana wenyewe hatuendi mahakamani,labda dini zingine,
Yaani mkubaliane wenyewe mkamtaarifu sheikh aweke baraka zake kwa niaba ya ALLAH halafu kuachana twende huko kwa court😳😳😳
- Kuna sheikh mmoja hivi aliwahi kufafanua hili vizuri sana, ila Sheria ya ndoa imetoa sbabu zipi Ili ndoa ivunjike
 
Ndoa za kikristo ndo humalizwa mahakamani na sio za kiislamu

Sisi dini yetu imekamilika
Yni ndoa ameleta Mungu ila talaka tukaitafute mahakamani tena kwa sheria za binadamu ,hatupo ivo sisi waislamu kma mke kazingua unamuacha on the spot
 
Mume akitamka mbele ya Mkewe au atamke mbele ya shuhuda kwamba kuanzia Leo Sio mke Wangu.

Talaka imeshapita hata bila maandishi.
Sharia ya Dini ya Islam.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Ndoa za kikristo ndo humalizwa mahakamani na sio za kiislamu

Sisi dini yetu imekamilika
Yni ndoa ameleta Mungu ila talaka tukaitafute mahakamani tena kwa sheria za binadamu ,hatupo ivo sisi waislamu kma mke kazingua unamuacha on the spot
Unajua kuna watu, hata hizo sheria za ndoa hawazijui, wanaandika wasivyovijua.
 
Manara na huyu anayeitwa mkewe ni washenzi tu fulani wanacheza na akili zenu
Mambo hayako serious kama mnavyodhani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Naskia Manara alizimia mapenzi bana.
Tehetehe ......alivyokuwa anamkoromea MO Dewji, kumbe dawa yake mwanamke tu, na MO DEWJi akiamua kumvuruga, anamtengea milioni 200 tu wanawake wote wanamkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…