Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

Sijui kama JPM hata anaelewa nini anafanya! Ana washauri kweli huyu??
mnadhani kama katiba inavunjwa huku kwingine kutabaki salama? Yeye ndio "anaamua nani amuweke wapi... tena mkimwambia ndo mmevuruga kabisa..."
Anarara nao mbere!
 
Kumbe vigezo havikufuatwa kwenye uteuzi wa Bw. Mtela kuwa DAS Kisarawe. Naye kadhihirisha kuwa hana uwezo huo. Kaishia kulala na wake za watu! Halafu wote mnaoneana wivu hadharani !!! Nchi inayojipambanua kuongozwa na sheria HAIFUATI sheria. Ni aibu kwa wateuzi na dhahama kwa waongozwa. Ifike wakati wateuzi waache utashi uchwara wa kisiasa wa vyama vyao. Dunia inawaangalia tu.
 
Sisiem Ni ile ile! Hakuna jipya, mambo ya hovyo, ya aibu, ya hovyo kabisa wamekuwa wakiyafanya hawabadiliki Hawa watu, shame upon them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…