Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa walirushiana maneno kati ya Haji Manara na Rais wa TFF Karia

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
Ni Joseph Yona Na soccer letu

KWA MUJIBU WA TAARIFA NI KUWA WALIRUSHIANA MANENO KATI YA HAJI MANARA NA RAIS WA TFF KARIA

KAMA WALIRUSHIANA MANENO WHY AFUNGIWE MMOJA AU RAIS WA TFF ANARUHUSIWA KURUSHIA MANENO MTU YEYOTE


Chini ya Uongozi wa Karia
[emoji117] Malinzi Kakamatwa
[emoji117] Wambura (Makamu wa Rais) kafungiwa
[emoji117]Shafii Dauda kafungiwa
[emoji117]Makocha wamefungiwa
[emoji117]Mwakalebela kafungiwa
[emoji117]Haji Manara kafungiwa
Kama uko kwenye Football ya Karia ukajihisi uko salama unakosea sana ipo siku UTAFUNGIWA.

Hujuma za @tanfootball TFF bana kwa @hajismanara
Unamfungiaje miaka 2 na faini ya 20M.

Yote hii kisa ni Yanga [emoji471][emoji471][emoji471][emoji460][emoji460][emoji460]
Hujuma haitafanikiwa kuizuia @yangasc kwenye mabadiliko na pira burudani na Biriani... Imekuwa adhabu kubwa kubwa sana, anyway kwa kuwa waziri mwenye dhamana ya utamaduni, Sanaa na michezo Mhe @mohamed_mchengerwa yupo ataitafakari adhabu.

#KataaUonevu
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
#FreeManara
 
Umesahau alipoingia Karia madarakani alimkuta Manara anatumikia kifungo cha mwaka mmoja alichofungiwa na huyo huyo Jamali Malinzi

Karia ndio alikuja kumpa uhuru manara kwa kumfutia adhabu

Alivyofungiwa mwakalebela, Manara aliweka sherehe.

Juzi hapo Shafii Dauda kafungiwa, Manara kama kawaida akampiga vijembe na kumuonesha kuwa TFF wamemkomesha.

Huko kote hamjawahi kusema Karia kazingua, wala hakuna aliyewahi kushusha uzi kulalamikia swala la la Karia.

Hata Manara hajawahi kumlalamikia Karia kwenye majanga yaliyowakuta hao watu. Alionekana kufurahia adhabu walizopewa.

Leo hii Rungu limemkuta Manara eti watu mnalalamika uongozi wa Karia haufanyi fair.

Muache akate rufaa ila kumbukeni nao TFF wanaweza kata rufaa wakapendekeza ongezeko la adhabu zaidi ya hapo
 
Umesahau alipoingia Karia madarakani alimkuta Manara anatumikia kifungo cha mwaka mmoja alichofungiwa na huyo huyo Jamali Malinzi...
Mi maona kahurumiwa sana au ndo ile juisi tuliyosmbiwa.

Manara hautumii mdomo wake vizuri
 
Na ndiyo maana Haji Manara alisema hivi
 
Mimi napendekeza adhabu ya faini ya M20 iondolewe na adhabu ya kufungiwa iongezwe iwe miaka kumi
 
Huyo waziri wa michezo akileta mdomo tu FIFA wanafanya yao.... Salama yenu uto ni kwenda tu CAS.
 
Manyani wengi sana wataibuka sasa hivi kumtetea nyani mwenzao, wakati hao wote wanafungiwa kabla ya Manara walikuwa wapi kulalamika?
 
Huyu anatakiwa afungiwe milele, haiwezekani umtukane raisi kisa umelewa madaraka
 
Manyani wengi sana wataibuka sasa hivi kumtetea nyani mwenzao, wakati hao wote wanafungiwa kabla ya Manara walikuwa wapi kulalamika?
Nyani wepesi sana kusahau,hawakumbuki kuwa kauli hii inawahusu wao kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…