Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa walirushiana maneno kati ya Haji Manara na Rais wa TFF Karia

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa walirushiana maneno kati ya Haji Manara na Rais wa TFF Karia

Waziri ni serikali na kwa mujibu wa sheria na kanuni za FIFA ni marufukuuu serikali kuingilia maswala ya michezo! Upo hapo we kiwindu!
 
Tatizo la manara ni kuchanganya siasa na mpira hajui anaowatukana wana connection kubwa sana huko serikalini nasemaje ngoma bado mbichi hii.
 
Back
Top Bottom