Kwa muonekano M23 ni jeshi la nchi fulani

Yani kweli kimtu kimoja chembamba ndo kinasumbua umoja wa nchi zote za Afrika mashariki?

Basi kwa kizaramo tunasema bwana kagame ni mtu mwelevu na mwenye akili nyingi sana.
 
JESHI LA CONGO SIO KWAMBA HAWANA UWEZO WA KUPIGANA NA RWANDA , SHIDA NI UONGOZI KUANZIA SERIKALINI MPAKA JESHINI UNASHIDA.
 
Rwanda kule walipelekwa na wafaransa na kampunity ya TOTAL walimlpia ok $20 million,
Rwanda kule ni mamruki wa total , ndo maana kwa sasa hawapigani wapo tuu kulinda visits vya gesi basi.
 
Kagame hutumia muda mwingi kuwahujumu marais wasiojielewa. Jpm alipogundua kuwa kagame si mzuri alikata mawasiliano haraka sana. Jk pia alikuwa smart sana kudeal na huyu myahudi feki wa kigali.
MWENDAZAKE ALIMSHUTUKIA BAADAE , KUNA KIPINDI ALIKUITA KWENYE KIKAO FLANI HIVI , JPM HAKUKWENDA WALA NINI.
 
Mi nikajua umeweka picha ili nione muonekano, kumbe hujaweka?
 
Kagame hutumia muda mwingi kuwahujumu marais wasiojielewa. Jpm alipogundua kuwa kagame si mzuri alikata mawasiliano haraka sana. Jk pia alikuwa smart sana kudeal na huyu myahudi feki wa kigali.
Huyo myahudi wa mchongo anatamania kumfyeka JK.. anajua ndiyo viunxi pekee vilivyosalia
 
Dawa ya Kagame inachemka na wanayo wahutu. Ni suala la muda watarudi na kumaliza game. Kwa anayejua historia ya jamaa hawa, never say never. Hata Kagame na wenzake wanalijua hilo.
Uko sawa kabisa. Wenye kumbukumbu wanakumbuka burundi ilikua inatawaliwa na watutsi wachache. Waliendesha apartheid hadi kuhakikisha wahutu chuo kikuu hawasomi. Walikua wanauliwa wakiingia chuo kikuu. Majirani wakaona imetosha wahutu wakaungwa mkono kutokomeza apartheid ya watutsi burundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…