Kwa muonekano wa kigentleman hakikisha hukosi saa hizi mkononi!

Tyrone Griffins

New Member
Joined
Sep 28, 2026
Posts
1
Reaction score
2
Habari wana jukwaa,naomba mnipokee mimi ni mgeni humu nilikuwa guest member kwa miezi miwili kabla ya kujiunga rasmi hii leo,naombeni ushirikiano wenu nauza Accesories mbalimbali classic pamoja na mavazi,accesories kama vile miwani,saa za kike na za kiume,wallet,handbags,cheni zinapatikana kwa hei nafuu sana..

Kwa leo ntapost saa zinaitwa pattek phillipe

Patek Philippe ni saa inayojulikana kwa muundo wa kifahari, umaridadi na attention to detail. Ni chaguo linalofaa kwa mtu anayependa accessories zenye muonekano wa class, prestige na sophistication.

✨ Sifa kuu: • Muonekano wa kifahari na wa kuvutia
• Design elegant inayofaa kwa business na occasions maalum
• Dial yenye finishing ya kuvutia
• Strap/bracelet yenye comfortable fit
• Muonekano unaoendana na casual, formal na smart outfits
• Imetengenezwa kwa kuzingatia appearance na detailing
• Gift nzuri kwa mwanaume anayependa luxury watches
💎 Luxury on your wrist. Elegance in every moment.
📍 Napatikana Dar es salaam mtaa wa Aggrey na Likoma
📩 Wasiliana nami kwa namba 0747931897

Bei each piece 90,000

Note;Hizi ni Replica sio Pattek phillipe original
#PatekPhilippe #LuxuryWatch #WristWatch #LuxuryStyle #MensFashion #ClassicStyle #Elegant #WatchCollection

 
Hizo za patek ni automatic kweli au zina battery?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…