Kwa mwaka mmoja Tanzania imepoteza mabilioni mengi kwa ufisadi - ripoti ya mkaguzi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali imedhihirisha uozo mkubwa ambao umesababishia serikali ya Tanzania hasara ya mabilioni. Taasisi zinazoongoza kwa hii michezo ya kifisadi ni TRA, NSSF, NIDA, TPA n.k.

Vipi mahakama ya mafisadi, imeanza kuwafunga au ndio yale yale...wabongo bana.... kukeshea vya Kenya lakini nyumbani wanakwapua balaa, muda usio mrefu watatiririka hapa na zile spin zao za kufia chama.
-----------------------------------

A report by Tanzania’s Controller and Auditor General paints a grim picture of public finance management in the country.

Prof Mussa Assad, who presented an executive summary of audited reports for the financial year 2016/17 to President John Magufuli, noted that state entities channelled trillions of shillings into ghost ventures and diverted funds to areas not open to scrutiny.

In seven government entities, items worth of Tsh3 billion ($1.3 million) were purchased without approval by the procurement board.

The CAG also raised doubts over the authenticity of payments for goods and services worth Tsh1.5 billion ($662,000) made by 11 government institutions to different bidders without a proper contract, which is contrary to section 10 of sub-regulation (4) of the Public Procurement Regulations of 2013.

The report exposed 14 institutions which bought and received products worth Tsh1.7 billion ($748,000) without consulting the committee responsible for auditing and inspection of records, in accordance with the procurement regulations.

State-owned entities

The CAG established that eight state-owned entities bought equipment valued at Tsh53 billion ($23 million), which was never delivered.

He cited the Tanzania Revenue Authority (TRA), National Social Security Fund, Tanzania Ports Authority and National Identification Authority (Nida) as public institutions involved in dubious deals.

For instance, TRA failed to submit the rail revenue to the Reli Assets Holdings Company (Rahco) amounting to Tsh194 billion ($85.6 million). Also Rahco spent a total of Tsh20 billion ($8.8 million) on the feasibility study in the 2016/2017 project that did not materialise.

Highlighting about Nida, CAG said the government lost Tsh402 million ($177,000) to fake rented office space. Also a total of Tsh167 million ($73,695) was lost when Nida transacted in foreign currency through commercial bank rates instead the Bank of Tanzania rates.

Prof Assad revealed a scam that involved the NSSF and four institutions where the fund was to lend Tsh60 billion ($26,477), but mysteriously, the NSSF approved Tsh67 billion ($29,566).

He also cited ineffective store control at the Medical Store Department leading to a loss of Tsh4.5 billion ($2 million) over expired drugs.

Another concern was the insufficient capability and efficiency of Tanzania Ports Authority (TPA) to monitor the container terminal service as it has failed to generate eligible income for every container offloaded at the harbour.

Also, the road fund board lost Tsh15 billion ($6.7 million) in uncollected revenue from petroleum products destined for neighbouring nations.
Audit exposes loss of billions in Dar’s public sector
 
Wacha uchoko that's all together is peanut and traceable in comparison to Eurobond money that went missing with no trails.
 
duh,nchi maskini inatafunwa hivi na mccm.poleni sana ndugu zetu
 
Hatari sana maana kutafuna nchi yenye kiwango cha LDC ni kutokua na huruma kwa binadamu, maana yenyewe tayari ni mifupa bila minofu hata kabla hujaanza kuitafuna.
 
Vizuri Kuona idara husika zinafanya kazi. Ufisadi lazima utangazwe mchana peupe. Hapa kenya ukitangaza ufisadi na utumizi mbaya wa fedha za serikali, unapigwa risasi kama yule Jacob Juma kama si hivyo, unashikwa na kuwekwa korokoroni kama david ndii.
Hongera JPM kwa kuitikia public critisism, kazi kwako sasa, kazi ya kutumbua hakuna anayejua kama wewe
 
Hilo gazeti limekaa ki umbeya kama kawaida yake, eti trilioni of Tzs shillings ila ukisoma unaona inshu za hardly hundred thousand dollars. Mwisho na muhimu wameshindwa kusema Magufuli aliwafukuza hapo hapo katika mkutano wakurugenzi wa halmashauri tatu waliopata hati chafu, je Kenyata ana uwezo huo, Kenya ukipata hati chafu ya CAG unaguswa ?
 
Vizuri Kuona idara husika zinafanya kazi. Ufisadi lazima utangazwe mchana peupe. Hapa kenya ukitangaza ufisadi na utumizi mbaya wa fedha za serikali, unapigwa risasi kama yule Jacob Juma kama si hivyo, unashikwa na kuwekwa korokoroni kama david ndii.
Hongera JPM kwa kuitikia public critisism, kazi kwako sasa, kazi ya kutumbua hakuna anayejua kama wewe
Well said brother. Kumwanika mla rushwa hadharani ni hatua kubwa sana katika kutokomeza rushwa.
 
Tanzania is real corrupt national @ Tanzania deserve to be a first world country due to its abundance resources # we are tired with these trash politicians
 
Yani $1.3 million mpaka mnaifugulia thread, Tanzania ilikuwa inapoteza kiasi gani kabla JPM hajaingia madarakani? unaweza kulinganisha na zinazopota Kenya?
 
Hehehe maccm mumepitia pembeni na kutiana mzula na moyo na kupata ujasiri kuanza kujibu, uchumi wenu wa LDC ni mdogo sana kutafunwa kihivi.
 
LDC tayari ni mifupa, sasa pamoja na kubana matumizi hadi vyuma vinakaza na kuishi kama madevil, bado mnaiba, nyie bana.
Na bado mpaka tutafika 0% ya wizi wa mali ya umma. Wenzetu Kenya mna pandisha, sisi tunashusha halafu wote tuko kwenye dunia hii hii moja.
 
Kha yaani hapo mnatafuna wakati wenzenu vyuma mumewakazia.
 
Back
Top Bottom