Kwa mwaka mmoja Tanzania imepoteza mabilioni mengi kwa ufisadi - ripoti ya mkaguzi

Kwa mwaka mmoja Tanzania imepoteza mabilioni mengi kwa ufisadi - ripoti ya mkaguzi

Fisiem ni sawa na make mwizi, hataacha kamwe kupiga sachi suruali ya mumewe kila usiku.
 
Vizuri Kuona idara husika zinafanya kazi. Ufisadi lazima utangazwe mchana peupe. Hapa kenya ukitangaza ufisadi na utumizi mbaya wa fedha za serikali, unapigwa risasi kama yule Jacob Juma kama si hivyo, unashikwa na kuwekwa korokoroni kama david ndii.
Hongera JPM kwa kuitikia public critisism, kazi kwako sasa, kazi ya kutumbua hakuna anayejua kama wewe
Walishafukuzwa saa hiyo hiyo wakati report inasomwa
 
Hehehe maccm mumepitia pembeni na kutiana mzula na moyo na kupata ujasiri kuanza kujibu, uchumi wenu wa LDC ni mdogo sana kutafunwa kihivi.
Hoja yako ni uchumi mdogo au rushwa?
 
Hatuwezi kuwaazima hili liCCM mkalihamishia Dubai kwa nguvu?

Libaki huko huko, mpambane nalo tu, ipo siku litaachia lakini baada ya kuwatafuna sana, hata sisi tulijua KANU ni ya milele lakini tukakomaa mpaka ikang'oka...he he he
 
Yani $1.3 million mpaka mnaifugulia thread, Tanzania ilikuwa inapoteza kiasi gani kabla JPM hajaingia madarakani? unaweza kulinganisha na zinazopota Kenya?
1.3 mil USD ni hela ndogo?
Kwa sababu hata JPM report ya CAG ilishawah kusema wizara yake.imetumia BIL 200 BILA MAELEZO NA KIVUKO CHA MV DSM kimenunuliwa bil 8 na leo hakina kazi.
Sasa basi wizara moja tu iliitia hasara nchi bil 208.
LEO ANAFUNGA watu wakat yeye hakusimamishwa wala kuambiwa ajielezs.
Na hii 1.3 milion USD mnaiona ndogo,hatukuwapa nchi mtutia hasara
IMG-20180330-WA0048.jpg
 
1.3 mil USD ni hela ndogo?
Kwa sababu hata JPM report ya CAG ilishawah kusema wizara yake.imetumia BIL 200 BILA MAELEZO NA KIVUKO CHA MV DSM kimenunuliwa bil 8 na leo hakina kazi.
Sasa basi wizara moja tu iliitia hasara nchi bil 208.
LEO ANAFUNGA watu wakat yeye hakusimamishwa wala kuambiwa ajielezs.
Na hii 1.3 milion USD mnaiona ndogo,hatukuwapa nchi mtutia hasaraView attachment 731114

Kuna mwaka gani toka tumepata uhuru uliwahi kuona serikali ya Tanzania inapata hati safi kutoka kwa mkaguzi wa serikali kwa zaidi ya 90%. Nakuhakikishia kwa ulafi wa wapinzani, leo hii kama wangekuwa madarakani tungekuwa tunazungumzia upotevu wa mabilioni ya $$$ wakisingizia ni uchafu wa CCM kumbe ni wao wanajimegea.
 
Libaki huko huko, mpambane nalo tu, ipo siku litaachia lakini baada ya kuwatafuna sana, hata sisi tulijua KANU ni ya milele lakini tukakomaa mpaka ikang'oka...he he he
Nyie ni werevu sana. Sisi hili li Fisiemu linahitaji mashujaa kama nyie kulitoa. Sisi ni waoga kama mafisi maji.
 
Back
Top Bottom