Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishafukuzwa saa hiyo hiyo wakati report inasomwaVizuri Kuona idara husika zinafanya kazi. Ufisadi lazima utangazwe mchana peupe. Hapa kenya ukitangaza ufisadi na utumizi mbaya wa fedha za serikali, unapigwa risasi kama yule Jacob Juma kama si hivyo, unashikwa na kuwekwa korokoroni kama david ndii.
Hongera JPM kwa kuitikia public critisism, kazi kwako sasa, kazi ya kutumbua hakuna anayejua kama wewe
Hoja yako ni uchumi mdogo au rushwa?Hehehe maccm mumepitia pembeni na kutiana mzula na moyo na kupata ujasiri kuanza kujibu, uchumi wenu wa LDC ni mdogo sana kutafunwa kihivi.
1.3 mil USD ni hela ndogo?Yani $1.3 million mpaka mnaifugulia thread, Tanzania ilikuwa inapoteza kiasi gani kabla JPM hajaingia madarakani? unaweza kulinganisha na zinazopota Kenya?
1.3 mil USD ni hela ndogo?
Kwa sababu hata JPM report ya CAG ilishawah kusema wizara yake.imetumia BIL 200 BILA MAELEZO NA KIVUKO CHA MV DSM kimenunuliwa bil 8 na leo hakina kazi.
Sasa basi wizara moja tu iliitia hasara nchi bil 208.
LEO ANAFUNGA watu wakat yeye hakusimamishwa wala kuambiwa ajielezs.
Na hii 1.3 milion USD mnaiona ndogo,hatukuwapa nchi mtutia hasaraView attachment 731114
Nyie ni werevu sana. Sisi hili li Fisiemu linahitaji mashujaa kama nyie kulitoa. Sisi ni waoga kama mafisi maji.Libaki huko huko, mpambane nalo tu, ipo siku litaachia lakini baada ya kuwatafuna sana, hata sisi tulijua KANU ni ya milele lakini tukakomaa mpaka ikang'oka...he he he