Kwa mwaka mzima, Jana ndio nimejua mpenzi wangu alinipendea nini?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Kumbe unaweza kuishi na mtu ama mpenzi akawa anakupenda lakini usijue ni kitu gani hasa alipenda / anapenda kutoka kwako.

Kwa huyu mpenzi wangu wa kinyakyusa (ATUWENE) jana nilibahatika kujua ni kitu gani alipenda zaidi kama sio kutamani mara kwa mara kwangu ukiachana na pesa pia ukiachana na penzi.

Mdada huyo kumbe siku na saa wakati namtongoza alipenda sana kiswahili changu fasaha ambapo kwa mbaali kina lafudhi ya muambao wa Tanga. Hua anapenda sana ninapoongea anajisikia raha karibu kusinzia kama sio kulala kabisa kwa raha. Hasa pale ninapompa maneno matamu laini laini na hii sauti yangu ya zege nzito kidogo ndio kabisaaaa inammaliza.

Nimezipata habari hizi kutoka kwa rafiki yake wa karibu. Sasa nahofia rafiki nae huenda akawa amezimika nami mzee wa kasumba .

Mtu ambaye sina adabu kabisa katika masuala ya kuwatembezea bakora mtu na rafiki yake.

Lakini kwa sasa nimeacha kasumba hiyo... Atuwene Mwakalinga - MI unaniuwa na hiyo shape yako tu. Sura tutavumiliana.
 
sauti
Sauti bwana ukijaaliwa kuitumia vyema hauna haja ya romance, yenyewe yatosha kulainisha vyuma.
 
Kumbe unaweza kuishi na mtu ama mpenzi akawa anakupenda lakini usijue ni kitu gani hasa alipenda / anapenda kutoka kwako.

Kwa huyu mpenzi wangu wa kinyakyusa (ATUWENE) jana nilibahatika kujua ni kitu gani alipenda zaidi kama sio kutamani mara kwa mara kwangu ukiachana na pesa pia ukiachana na penzi.

Mdada huyo kumbe siku na saa wakati namtongoza alipenda sana kiswahili changu fasaha ambapo kwa mbaali kina lafudhi ya muambao wa Tanga. Hua anapenda sana ninapoongea anajisikia raha karibu kusinzia kama sio kulala kabisa kwa raha. Hasa pale ninapompa maneno matamu laini laini na hii sauti yangu ya zege nzito kidogo ndio kabisaaaa inammaliza.

Nimezipata habari hizi kutoka kwa rafiki yake wa karibu. Sasa nahofia rafiki nae huenda akawa amezimika nami mzee wa kasumba .

Mtu ambaye sina adabu kabisa katika masuala ya kuwatembezea bakora mtu na rafiki yake.

Lakini kwa sasa nimeacha kasumba hiyo... Atuwene Mwakalinga - MI unaniuwa na hiyo shape yako tu. Sura tutavumiliana.
Kwahiyo ukipata saratani ya koo, ndo kwishney?

Bazazi
 
ulivyosema una lafudhi ya kitanga

nikamkumbuka mpenzi wake SweetieLee japo saivi

sweet ukimwambia tu umetokea tanga anaweza asikukubali mazima

Hata uongeee utoe sauti kama kinanda,haelewi yaniiii
 
😂 😂 😂 😂
CONTROLA ni kwanini lakini wewe ni mchokozi hivyo..!!?
Eti sauti kama kinanda..!!
 
Nakumbuka wakati niko std 2 tulipata uhamisho kwenda mkoani toka DAR, tulipofika uko nilipokuwa naongea wanafunzi wenzangu walikuwa wananijalia sana, kuna kadada kalikuwa kanapenda tu kunisikiliza nikiongea, baada ya miaka mingi ndio nilikuja kugundua kwanini alipenda kunisikiliza ile lafudhi yangu.
 
Kumbe unaweza kuishi na mtu ama mpenzi akawa anakupenda lakini usijue ni kitu gani hasa alipenda / anapenda kutoka kwako.

Kwa huyu mpenzi wangu wa kinyakyusa (ATUWENE) jana nilibahatika kujua ni kitu gani alipenda zaidi kama sio kutamani mara kwa mara kwangu ukiachana na pesa pia ukiachana na penzi.

Mdada huyo kumbe siku na saa wakati namtongoza alipenda sana kiswahili changu fasaha ambapo kwa mbaali kina lafudhi ya muambao wa Tanga. Hua anapenda sana ninapoongea anajisikia raha karibu kusinzia kama sio kulala kabisa kwa raha. Hasa pale ninapompa maneno matamu laini laini na hii sauti yangu ya zege nzito kidogo ndio kabisaaaa inammaliza.

Nimezipata habari hizi kutoka kwa rafiki yake wa karibu. Sasa nahofia rafiki nae huenda akawa amezimika nami mzee wa kasumba .

Mtu ambaye sina adabu kabisa katika masuala ya kuwatembezea bakora mtu na rafiki yake.

Lakini kwa sasa nimeacha kasumba hiyo... Atuwene Mwakalinga - MI unaniuwa na hiyo shape yako tu. Sura tutavumiliana.
punguwan waheed
 
WA DAR akienda Kaskazini hasa Arusha akiongea kila mtu atamtamani

WA CHUGGA akienda DAR akiongea kila mtu atamtamani

WA MWANZA/SHINYANGA akienda popote akiongea kila mtu lazima aangue kicheko

sijui shida inakuaga wapi.
 
Back
Top Bottom