Kwa mwaka mzima, Jana ndio nimejua mpenzi wangu alinipendea nini?

Kwa mwaka mzima, Jana ndio nimejua mpenzi wangu alinipendea nini?

Kumbe unaweza kuishi na mtu ama mpenzi akawa anakupenda lakini usijue ni kitu gani hasa alipenda / anapenda kutoka kwako.

Kwa huyu mpenzi wangu wa kinyakyusa (ATUWENE) jana nilibahatika kujua ni kitu gani alipenda zaidi kama sio kutamani mara kwa mara kwangu ukiachana na pesa pia ukiachana na penzi.

Mdada huyo kumbe siku na saa wakati namtongoza alipenda sana kiswahili changu fasaha ambapo kwa mbaali kina lafudhi ya muambao wa Tanga. Hua anapenda sana ninapoongea anajisikia raha karibu kusinzia kama sio kulala kabisa kwa raha. Hasa pale ninapompa maneno matamu laini laini na hii sauti yangu ya zege nzito kidogo ndio kabisaaaa inammaliza.

Nimezipata habari hizi kutoka kwa rafiki yake wa karibu. Sasa nahofia rafiki nae huenda akawa amezimika nami mzee wa kasumba .

Mtu ambaye sina adabu kabisa katika masuala ya kuwatembezea bakora mtu na rafiki yake.

Lakini kwa sasa nimeacha kasumba hiyo... Atuwene Mwakalinga - MI unaniuwa na hiyo shape yako tu. Sura tutavumiliana.
Hatari sana Usikute kunamwingine anapendwa kwa ajili anamkuna vizuri.. Just a joke 😂
 
lisaa limoj anyum abaharia nimeongea na mtoto mmoja wa mtandaoni..sio mtoto ni matured nimemzidi 1 year ye ana 32//...ila ameongea kama mzanzibar au mtu wa Tnag kkwa heshim azote..yani nimefall in lov ekwake
 
Mtandaoni hakuko salama sana! Kuwa makini

Back
Top Bottom