mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Yaani mkuu sauti humlainisha mtu Kwa asilimia kubwa sanasauti
Sauti bwana ukijaaliwa kuitumia vyema hauna haja ya romance, yenyewe yatosha kulainisha vyuma.
Kwahiyo ukipata saratani ya koo, ndo kwishney?Kumbe unaweza kuishi na mtu ama mpenzi akawa anakupenda lakini usijue ni kitu gani hasa alipenda / anapenda kutoka kwako.
Kwa huyu mpenzi wangu wa kinyakyusa (ATUWENE) jana nilibahatika kujua ni kitu gani alipenda zaidi kama sio kutamani mara kwa mara kwangu ukiachana na pesa pia ukiachana na penzi.
Mdada huyo kumbe siku na saa wakati namtongoza alipenda sana kiswahili changu fasaha ambapo kwa mbaali kina lafudhi ya muambao wa Tanga. Hua anapenda sana ninapoongea anajisikia raha karibu kusinzia kama sio kulala kabisa kwa raha. Hasa pale ninapompa maneno matamu laini laini na hii sauti yangu ya zege nzito kidogo ndio kabisaaaa inammaliza.
Nimezipata habari hizi kutoka kwa rafiki yake wa karibu. Sasa nahofia rafiki nae huenda akawa amezimika nami mzee wa kasumba .
Mtu ambaye sina adabu kabisa katika masuala ya kuwatembezea bakora mtu na rafiki yake.
Lakini kwa sasa nimeacha kasumba hiyo... Atuwene Mwakalinga - MI unaniuwa na hiyo shape yako tu. Sura tutavumiliana.
Huyo ni mmojawapo Tu mkuuMzee wa kasumba katika ubora wako
Huyu ndo main chick au ? Au main chick hawaesabiki
Sijaoa mkuuMsalimie mkeo
π π π πulivyosema una lafudhi ya kitanga
nikamkumbuka mpenzi wake SweetieLee japo saivi
sweet ukimwambia tu umetokea tanga anaweza asikukubali mazima
Hata uongeee utoe sauti kama kinanda,haelewi yaniiii
ππsaivi si nakujua jua ulivyo hupendi ujinga
π€£ π€£ π€£
punguwan waheedKumbe unaweza kuishi na mtu ama mpenzi akawa anakupenda lakini usijue ni kitu gani hasa alipenda / anapenda kutoka kwako.