Aroon abby
Member
- Sep 29, 2014
- 5
- 0
Ha ha ha mi pia Nit ila hatutowezana coz nakula lager na liquor za kila aina, ganja mara mojamoja nikiwa na stress, natupia ugoro km sitaki kunywa kwa mda huo, unga tu na sigara ndo situmii kwa hyo hatutawezana labda freddie boy
hahah ww ndio tunawezana aise umenifurahisha saaaana na.nina stock.ya cha arusha naeza kula semester nzima 🙂
hahahahhh...unajicfia.kutumia vilevi!!mm nit lakin sio mwiz but natumia vilevi vyote kutoa unga tu so hatutowezana
hahahahhh...unajicfia.kutumia vilevi!!
Mnashikishwa mkuta fredy na arif mwenzio
mm niko chuo saiv kadabrahhhh chek mi 0656879668
vp kuchange course man kadabrahh inawezekanaa
wameandika hairuhusiwi ila nahs ni mkwara tu