Kwa mwaka wa kwanza NIT

Kwa mwaka wa kwanza NIT

Utapata hata majambaz humu,shaur zako!
 
utapata wa kukaa nae ila jiulize atakua na tabia kama zako?? je mtaendana ukipata mwizi jee?? bora uishi peke yako tu maana privacy ni jambo la msingi katika kujenga maisha yako,,, au tafuta mtu unaemfahamu ukaishi nae... HASARA ROHO PESA MAKARATASI... mtazamo tu dont take it personal
 
mm nit lakin sio mwiz but natumia vilevi vyote kutoa unga tu so hatutowezana
 
Ha ha ha mi pia Nit ila hatutowezana coz nakula lager na liquor za kila aina, ganja mara mojamoja nikiwa na stress, natupia ugoro km sitaki kunywa kwa mda huo, unga tu na sigara ndo situmii kwa hyo hatutawezana labda freddie boy
 
hahah ww ndio tunawezana aise umenifurahisha saaaana na.nina stock.ya cha arusha naeza kula semester nzima 🙂
 
kadabrah usibishane na tahira atakupotezea muda tu
 
Ndugu zangu nataka nipige apo nit dipl ya logistic&transport management jamani naweza pata msaada wenu ili nipate nafasi apo au nimechelewa naombe msaada wakuu mwenye dertails za jinsi ya kupata nafasi
0756773023 no yng
benedictdatius@gmail.com
Kwa mawasiliano zaidi
 
njoo uonane na uongoz wa chuo au ingia,website ya chuo
 
mm niko chuo saiv kadabrahhhh chek mi 0656879668
 
Back
Top Bottom