Kwa mwalimu aliyeko dodoma mjini/chamwino kuja biharamulo/chato/buseresere

Kwa mwalimu aliyeko dodoma mjini/chamwino kuja biharamulo/chato/buseresere

Elly Andrew

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
411
Reaction score
175
Ndugu mwalimu wa sekondari uliyemwenyeji wa biharamulo au unatoka maeneo ya karibu kama chato,katoro,bwanga,runazi,buseresere na geita na ungependa kufanyakazi maeneo hayo kwa kubadilisha vituo vya kazi kutokea dodoma nitafte kuptia pm au 0766327457.AU elbinmuna@gmail.com
 
mimi mwalimu idara sekondari mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa Kubadilishana kutoka mkoa wa Singida.nitafute kupitia 0765070911
 
Niko Mwanza-Magu Elimu ya Msingi, aliyetayari kubadilishana kutoka Pwani-Mkuranga au Kibaha ani-PM.
 
Natamani kurudi kwetu sgd au dom huku kagera kwa wasubi,waha,na wahaya
 
Back
Top Bottom