Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake




dah mkuu CPU nami nampa pole sana

Cha kufanya hapo pia kwa maoni yangu akacheki afya yake na kuconfirm kama hawezi kuzaa tena ama la...kuna hili la kuwa anaweza akampata surrogate mother kama bado ana mayai yake,

ile it so touching

jamani wakati tunadhani tuna matatizo lets think twice kuna wengine wanayo zaidi yetu mara mia!
 
Ubarikiwe sana CPU kwa maombi....nami nasema AMEN! Mungu ni mwaminifu, hakika atafanya na kumponya bint huyu.

Asante pia kueleza nini kilitokea kwa sisi ambao hatukuwepo!
 
amen mpendwa, neno la Mungu taa yetu, mpendwa forgive ujaaliwe nguvu na ustahimilivu wa kuzishinda kazi zote za ibilisi moyoni mwako. amen

CPU ubarikiwe sana
 
Amen! Pole sana kwa forgive japo sikukipata kisa chake!
 
Dah! Pole sana kwa dada Forgive kwa mkasa huo uliompata...
 
Huyu Forgive kafanya nini maana sioni sababu za kuombewa huo msamaha ikiwa yeye mwenyewe hajakubali. Na ni vyema aombe mwenyewe kwa Mungu wake.

Samahani kama nimewakera.

Sisi tumefundishwa kuombeana mpendwa, Neno la Mungu linatufundisha kubebeana mizigo kwa njia ya maombi pia. Ingawa na yeye anaomba lkn hata sisi tunatakiwa tumuombee pia. Barikiwa na uwe na kawaida ya kuwaombea ndugu, jamaa na rafiki zako na zaidi sana adui zako. Kwa kufanya hivo utabarikiwa!!!
 

Umesema kweli kaka, yani unaweza ukajiona una matatizo lkn ukikutana na la mwenzio unaona afadhali ya wewe!!

Kaka naomba kuuliza, hata mtu yoyote tu naomba anisaidie, kwani ukibakwa unaweza ukashindwa kuzaa?
 
CPU tunashukuru sana ila zaidi tunamuombea FORGIVE Mungu aweze kumpa suluhisho la mambo ambayo amepitia ni vigumu sana hasa ukizingatia ni jinsi gani anavyojisikia sasa hivi ni vigumu sana kwa sisi kujiweka kwenye nafasi aliyo yeye kwa vile kuna baadhi ya watu hawaja-experience vitu kama hivyo so cha muhimu tuzidi kumuombea na pia ni vizuri kumuweka kwenye sala kwa wakristo wote kuna sala tofauti amabzo unaweza kumuombea mtu mwenye matatizo basi ni vizuri zaidi tukazitumia sababu hatujui kesho sisi tutakuwa katika hali gani. Mungu mwenye baraka ampe nguvu na amwongoze ili aweze kupata amani na baraka ndani ya moyo wake na aweze kuponywa na magumu aliyonayo wakati huu.

All we like sheep we have gone astray each of us turning our own separate way we have all sinned and fallen short of the glory of God, but the glory of God is what we desire to see and in his presence is where we long to be, Lord show us your mercy and grace, forgive our sin because we long to live in your presence.
 
Aaaaamen!

Ubarikiwe sana mtumishi...Naamini yote haya yanaenda kutendekaKWA DADA FORGIVE JIONI YA LEO, katikajina lipitalo majina yote...AMINA.

Amen to that,i pray for their breakthru in the might work name.

CPU what can i say!bless u abanduntly


Amen to that CPU. I am glad umelitambua tatizo la huyu binti na kuelewa suluhisho lake liko kiroho zaidi. Naamini Mungu ametenda. Gloly be tp God,

Inshallah!

Asante sana mtumishi CPU, Mungu akubariki utokapo na uingiapo. Ashughulike na mambo yako kama vile wewe ulivyojitoa kwa ajili ya wengine.

Amen, utukufu juu mbinguni.

na moto wa madhabahu ya mbinguni ukapate kushuka na kuteketeza mipango yote ya ibilisi juu ya binti huyu, damu ya Yesu ikafanyike kuwa uzio katika maisha yake.....Amen


Mkuu CPU umefanya njema sana,mbali ya forgive ni kweli kuna wengine kama yeye na hata zaidi yake hapa ila hawajaweka tu wazi.Mungu aliyekuongoza kuandika sala hii atatenda.Ubarikiwe sana mkuu

Ubarikiwe sana CPU kwa maombi....nami nasema AMEN! Mungu ni mwaminifu, hakika atafanya na kumponya bint huyu.

Asante pia kueleza nini kilitokea kwa sisi ambao hatukuwepo!

Amen God is Good all the time

Ubarikiwe sana CPU

amen mpendwa, neno la Mungu taa yetu, mpendwa forgive ujaaliwe nguvu na ustahimilivu wa kuzishinda kazi zote za ibilisi moyoni mwako. amen

CPU ubarikiwe sana

Safi sana Wakuu, Hapa ibilisi sio tu atakimbia bali atakufa kabisa
 
MUNGU wa MBINGUNI amtie nguvu huyu Dada!! Asante sana CPU.. UBARIKIWE mpaka USHANGAE!
 



Mkuu bado una kesi lakin?? :wink2::wink2:
 

 

Mkuu CPU, nashukuru sana kwa hiyo summary. Very very sad. Very saadi hata siwezi elezea.

I hope atapata nguvu ya kumweleza huyo mpenzi wake hayo yote na kwamba huyo mpenzi wake atakuwa mwelewa na wa msaada badala ya kejeli na kumtangaza na kumwacha. I pray so
 
Ipi tena mkuu nitakucheki hewani:wink2::wink2:

Mkuu mi sikubali kabisa, mpaka kieleweke. Haiwezekani kabisaaaaaa unifanyie vile lazima nilipize kisasi
 
Mkuu mi sikubali kabisa, mpaka kieleweke. Haiwezekani kabisaaaaaa unifanyie vile lazima nilipize kisasi
Ahaaaa ahaaaa ahaaa kaka INTELIJENSIA yangu hata ya Jeshi la Polisi haioni ndani
 

TF, hata profesa Kakobe hakufikii! Lakini kwa nini hii kitu inanitia uchungu sana? Napata nguvu ya kusema if i could get those culprits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…