Kwa mwana mfalme Dube

Ni ivi kweny maisha yeyote sehem iliyo kupa thaman kpind we unathamani bas pasina shaka ipe naenyw thamani yake kwa kuilipia gharama angalau hata kwa machache ambayo utakayo weza fanya, lakn syo kuondoka kwa kbr na madharau akka utalipwa hapo hapo ndy hii ya dube
 
Unajua vidole vingapi vinakusonta wewe?
 
Nakala imfikie Scars uran
 
Hili tusibishe ni bora tuwe tunanyamaza. Zile matches ambazo wachezaji wetu hawakudungwa tumeona matokeo. Azam wametudhalilisha sana. Sitawasamehe hawa mbwa kutuweka wazi.
Hakuna mchezaji anadungwa sindano,hicho kitu fifa hawaruhusu kabisa na timu inaweza kufungiwa maisha kucheza,hizo ni propaganda za maadui wa yanga
 
Hakuna mchezaji anadungwa sindano,hicho kitu fifa hawaruhusu kabisa na timu inaweza kufungiwa maisha kucheza,hizo ni propaganda za maadui wa yanga
Kwani Fifa wanaruhusu kuruka ukuta au kuingilia milango isiyo sahihi?

Tunakuambia kama hujui Wachezaji wetu wanadungwa sindano za kuongeza nguvu. Toka Azam itudhalilishe na tulipo nyimwa fursa team imeonekana na coach kasema hawapo fit kabisa. Sababu ya kuzoea kujidunga na mazoezi hawaendi wakitegemea kujidunga madawa
 
Huyo striker mijasho wacha ateseke aliitukana azam akasahau fathila walizo mtendea malipo hapa hapa dunian
 
kuruka ukuta ni kosa dogo sana kulinganisha na kosa la kudunga sindano,soma sheria za fifa kwanza,utaona jinsi ilivyo hatari kudunga sindana tff yenyewe haiwezi kukubali suala hilo
 
Akae tu hapo YAS huku afya yake ya akili ikiwa ndo dhamana.
 
kwa hiyo wewe unaamini kuwa wanaomfelisha dube pale yanga ni azam? Timu inapitia wakati mgumu kwa sasa na ktk hiyo timu dube ni sehemu ya timu!
 
Hakuna mchezaji anadungwa sindano,hicho kitu fifa hawaruhusu kabisa na timu inaweza kufungiwa maisha kucheza,hizo ni propaganda za maadui wa yanga
na yeyote atakayeleta picha jongefu inayoonesha wachezaji wakidungwa sindano (mimi holoholo mwenye uanachama halali wa yanga) naahidi kuifungulia mashtaka yanga fifa, asipoleta huo ushahidi basi nitamfungulia mashataka fifa,mahakamani kwa kueneza na kusambaza taarifa za uongo,na uzushi,jambo lililo leta hofu na taharuki miongoni mwa wapenda soka nchini.
 
Unajua vidole vingapi vinakusonta wewe?
Mimi siwezi kuwa mtovu wa fadhila kiasi hicho.
Mtu unapewa care ya VIP kila ukiumwa unapelekwa hadi south Africa,halafu unaachana na mwajiri wako kwa mabango.Mimi sina huo moyo usio wa kistaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…