Kwa mwana mfalme Dube

Ndugu yangu hakuna hata mtu mmoja ataleta huo ushahidi kwani huu ni uongo unaopikwa dhidi ya yanga
 
Umeona Gamondi amechonga Kwa kuondolewa Yanga huko ndiko kukomaa huwezi jua dunia inazunguka hii. Hawa watoto wanaongea wanamaliza Acha yawakute. Timu inaomba icheze Hadi na Malaika?. Mimi Imani yangu inasema Dhambi ya kumkufuru MUNGU na roho Mtakatifu haisameheke. Vijana msilonge mkamala🙄
 
Hakuna kiongozi wala mchezaji aliyewahi kuomba kucheza na malaika hayo ni mambo ya mashabiki,na Mungu hawezi kuwaadhubu wachezaji kwa kosa la mashabiki
 
kuruka ukuta ni kosa dogo sana kulinganisha na kosa la kudunga sindano,soma sheria za fifa kwanza,utaona jinsi ilivyo hatari kudunga sindana tff yenyewe haiwezi kukubali suala hilo
Basi tuache kujidunga. Tusije fungiwa kifala.
 
kwa hiyo wewe unaamini kuwa wanaomfelisha dube pale yanga ni azam? Timu inapitia wakati mgumu kwa sasa na ktk hiyo timu dube ni sehemu ya timu!
Syo wanafelisha n azm ebu kama ww chunguza dunian kote wale waliondoka kweny clabu zao kwa migogoro na kuforc kuondka wamefka wap zaid ya kwenda kupotea mfano pale Liverpool cotinyoo, Torres ukij PSG mbappe saiv ana teseka ukirud nyuma namna walivo achana na club zao
 
huo ni uongo hakuna mchezaji wa yanga anayejidunga
ajabu!
hili tusibishe tutazidi kuwatia watu hasira na wataonesha.... ushahidi wote ulioneshwa na zile syringe zilioneshwa. na baada ya kubanwa kutotumia team yetu inaonekana haina nguvu. sababu walikuwa wakitegemea hizo kitu.
 
Na Feisal aliondokaje pale yanga? Unamlaumu dube kwa kuongea ukweli ama unamlaumu kwa lipi?
 
Alitakiwa kubaki Azam hakuna pressure. Simba na Yanga unatakiwa kuwa na roho ngumu
 
Hizi ni akili na mawazo ya kitumwa
Unamkumbuka TORRES alitoka Liverpool kwenda Chelsea nn kilitokea?
Shevchenko alìtoka AC Milan 2 Chelsea akachemka kule Chelsea alitukana?
Mbape je kamtukana nani?
Wachawi wachawi utawaweza basi, Fei alitokaje yanga mabango yake yalikuwa zaidi ya Dube mpaka akataka Eng. aondoke ili yeye abaki mbona yeye hakulaaniwa na anaendelea tu vizuri
 
Hili tusibishe ni bora tuwe tunanyamaza. Zile matches ambazo wachezaji wetu hawakudungwa tumeona matokeo. Azam wametudhalilisha sana. Sitawasamehe hawa mbwa kutuweka wazi.
Na umekaa ukaamini hizo propaganda yaani wajidunge sindano za kuongeza nguvu waache bomba za sindano humo ndani hata kama hawana uwezo wa kufikiri sio kwa kiwango hicho
 
Na umekaa ukaamini hizo propaganda yaani wajidunge sindano za kuongeza nguvu waache bomba za sindano humo ndani hata kama hawana uwezo wa kufikiri sio kwa kiwango hicho
Kipindi chote hawakuacha inatokea mbona. This time ndo wamejisahau walichanganyikiwa na kipigo kila mtu akaondoka amechanganyikiwa. Kujidunga tunajua wamekuwa wakijidunga na baada ya hapo tumeona matokeo yake
 
Hamna lolote ukweli dube ni mchezaji wa kawaida yu aliyekuwa anawaotea simba kila akikutana nao lini dube amewahi hta kuwa mfungaji bora wa hii ligi toka alipokuwa Azam ni swala la muda kutolewa pale Simba na Yanga uvumilivu ni ziro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…