Kwa mwana mfalme Dube

Kwa mwana mfalme Dube

na yeyote atakayeleta picha jongefu inayoonesha wachezaji wakidungwa sindano (mimi holoholo mwenye uanachama halali wa yanga) naahidi kuifungulia mashtaka yanga fifa, asipoleta huo ushahidi basi nitamfungulia mashataka fifa,mahakamani kwa kueneza na kusambaza taarifa za uongo,na uzushi,jambo lililo leta hofu na taharuki miongoni mwa wapenda soka nchini.
Ndugu yangu hakuna hata mtu mmoja ataleta huo ushahidi kwani huu ni uongo unaopikwa dhidi ya yanga
 
Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.

Nakuhakikishia kuwa kila binadamu amepitia hali hiyo,sio wewe tu,na hata hao wanaokutukana,wamewahi kupitia hali kama hiyo,huo ndio ubinadamu.Jiulize je wewe umewahi kupitia shida au mateso kuliko Joshuo Nkomo?,kuliko Robert Mugabe?

Watu hao walipitia mateso makubwa lakini waliongeza bidii na wakafaulu,ndivyo na wewe nakushauri ufanye,ongeza bidii na kumtumainia Mungu tu,hivi sasa wako wapumbavu wengi sana watakuja kwako kujifanya ndio ma masiha kwako,kwamba wanamjua mganga,sangoma ambae anaweza kukutibu ulivyorogwa,kataaa,ni Mungu pekee ndio atakayekusimamisha na uwashinde hao maadui zako.

Hayo mateso yako yote yageuze yawe fursa kwako,kukuchochea ufanikiwe.Na kwa lugha ya kwenu😛amberi ne chimurenga
Umeona Gamondi amechonga Kwa kuondolewa Yanga huko ndiko kukomaa huwezi jua dunia inazunguka hii. Hawa watoto wanaongea wanamaliza Acha yawakute. Timu inaomba icheze Hadi na Malaika?. Mimi Imani yangu inasema Dhambi ya kumkufuru MUNGU na roho Mtakatifu haisameheke. Vijana msilonge mkamala🙄
 
Umeona Gamondi amechonga Kwa kuondolewa Yanga huko ndiko kukomaa huwezi jua dunia inazunguka hii. Hawa watoto wanaongea wanamaliza Acha yawakute. Timu inaomba icheze Hadi na Malaika?. Mimi Imani yangu inasema Dhambi ya kumkufuru MUNGU na roho Mtakatifu haisameheke. Vijana msilonge mkamala🙄
Hakuna kiongozi wala mchezaji aliyewahi kuomba kucheza na malaika hayo ni mambo ya mashabiki,na Mungu hawezi kuwaadhubu wachezaji kwa kosa la mashabiki
 
kwa hiyo wewe unaamini kuwa wanaomfelisha dube pale yanga ni azam? Timu inapitia wakati mgumu kwa sasa na ktk hiyo timu dube ni sehemu ya timu!
Syo wanafelisha n azm ebu kama ww chunguza dunian kote wale waliondoka kweny clabu zao kwa migogoro na kuforc kuondka wamefka wap zaid ya kwenda kupotea mfano pale Liverpool cotinyoo, Torres ukij PSG mbappe saiv ana teseka ukirud nyuma namna walivo achana na club zao
 
huo ni uongo hakuna mchezaji wa yanga anayejidunga
ajabu!
hili tusibishe tutazidi kuwatia watu hasira na wataonesha.... ushahidi wote ulioneshwa na zile syringe zilioneshwa. na baada ya kubanwa kutotumia team yetu inaonekana haina nguvu. sababu walikuwa wakitegemea hizo kitu.
 
Dube ni mpumbavu sana.
Amelelewa na kutunzwa vizuri sana akiwa Azam,lakini ametoka Azam kwa mabango na kashfa kwa maboss wake.Alifanyiwa utu sana akiwa Azam ingawa hakuipa thamani waliyompa wao.

Kuondoka kwa kukashifu waliomsaidia sio uungwana kabisa na anastahili kuadhibiwa zaidi ya hapo unless aombe msamaha wa dhati.
Mimi namwambia ubaya ubwela
Na Feisal aliondokaje pale yanga? Unamlaumu dube kwa kuongea ukweli ama unamlaumu kwa lipi?
 
FB_IMG_17326887856249327.jpg
 
Alitakiwa kubaki Azam hakuna pressure. Simba na Yanga unatakiwa kuwa na roho ngumu
 
Hizi ni akili na mawazo ya kitumwa
Unamkumbuka TORRES alitoka Liverpool kwenda Chelsea nn kilitokea?
Shevchenko alìtoka AC Milan 2 Chelsea akachemka kule Chelsea alitukana?
Mbape je kamtukana nani?
Wachawi wachawi utawaweza basi, Fei alitokaje yanga mabango yake yalikuwa zaidi ya Dube mpaka akataka Eng. aondoke ili yeye abaki mbona yeye hakulaaniwa na anaendelea tu vizuri
 
Hili tusibishe ni bora tuwe tunanyamaza. Zile matches ambazo wachezaji wetu hawakudungwa tumeona matokeo. Azam wametudhalilisha sana. Sitawasamehe hawa mbwa kutuweka wazi.
Na umekaa ukaamini hizo propaganda yaani wajidunge sindano za kuongeza nguvu waache bomba za sindano humo ndani hata kama hawana uwezo wa kufikiri sio kwa kiwango hicho
 
Na umekaa ukaamini hizo propaganda yaani wajidunge sindano za kuongeza nguvu waache bomba za sindano humo ndani hata kama hawana uwezo wa kufikiri sio kwa kiwango hicho
Kipindi chote hawakuacha inatokea mbona. This time ndo wamejisahau walichanganyikiwa na kipigo kila mtu akaondoka amechanganyikiwa. Kujidunga tunajua wamekuwa wakijidunga na baada ya hapo tumeona matokeo yake
 
Dube ni mpumbavu sana.
Amelelewa na kutunzwa vizuri sana akiwa Azam,lakini ametoka Azam kwa mabango na kashfa kwa maboss wake.Alifanyiwa utu sana akiwa Azam ingawa hakuipa thamani waliyompa wao.

Kuondoka kwa kukashifu waliomsaidia sio uungwana kabisa na anastahili kuadhibiwa zaidi ya hapo unless aombe msamaha wa dhati.
Mimi namwambia ubaya ubwela
Hamna lolote ukweli dube ni mchezaji wa kawaida yu aliyekuwa anawaotea simba kila akikutana nao lini dube amewahi hta kuwa mfungaji bora wa hii ligi toka alipokuwa Azam ni swala la muda kutolewa pale Simba na Yanga uvumilivu ni ziro
 
Back
Top Bottom