Kwa mwana mfalme Dube

Dube bado ni mchezaji mzuri, wampunguzie pressure kwa kumpumzisha angalau game 2 au 3 ili ajengewe confidence nzuri.
 
Na umekaa ukaamini hizo propaganda yaani wajidunge sindano za kuongeza nguvu waache bomba za sindano humo ndani hata kama hawana uwezo wa kufikiri sio kwa kiwango hicho
ajabu na ingekuwa kweli mbona lingefikishwa tff na yanga ingeshughulikiwa sawasawa
 
ajabu na ingekuwa kweli mbona lingefikishwa tff na yanga ingeshughulikiwa sawasawa
Dirisha dogo apelekwe kwa mkopo SBS; akamalizie msimu; msimu ujao atakuwa fit.
Wachezaji wa tano wa Yanga watolewe kwa mkopo dirisha dogo;
1. Dube
2. Chama
3. Aziz
4. Baleke
5. Job.
Alaf Yanga ivute vyuma vipya vitano kutoka Congo
 
Hajalogwa huyu mfalme wenu bana😂😂😂😂😂😂 mpira umeisha ni kazee kale na kama kanakula shisha ndo kwisha habari yake😂😂😂
 
list yako ni batili ulipomuweka tu job. Katika nchi hii nani ni beki wa kati anayemzidi kiwango job?
 
kuruka ukuta ni kosa dogo sana kulinganisha na kosa la kudunga sindano,soma sheria za fifa kwanza,utaona jinsi ilivyo hatari kudunga sindana tff yenyewe haiwezi kukubali suala hilo
Kwani Huwa wanaenda kuomba ruhusa tff mpaka useme tff yenyewe haiwezi kukubali. Mnavoshinda kwa hisaninya marefu tff Huwa wanakubali. Haya tuambie, kama ni propaganda ya maadui wa yanga, kwanini tangun hilo liwekwe wazi timu imekata pumzi?
 
Hajalogwa huyu mfalme wenu bana😂😂😂😂😂😂 mpira umeisha ni kazee kale na kama kanakula shisha ndo kwisha habari yake😂😂😂
Kwa taarifa yako dube hata pombe hanywi
 
Kwani Huwa wanaenda kuomba ruhusa tff mpaka useme tff yenyewe haiwezi kukubali. Mnavoshinda kwa hisaninya marefu tff Huwa wanakubali. Haya tuambie, kama ni propaganda ya maadui wa yanga, kwanini tangun hilo liwekwe wazi timu imekata pumzi?
Tatizo hujui kiswahili,naposema tff haiwezi kukubali timu inayotumia sindano,maana yake hizo fununu zingekuwa ni kweli ingeishaitisha uchunguzi mkali maana bila hivyo itagungiwa yenyewe na fifa,uwe unasoma vizuri na kama topic hujui si unyamaze kimya
 
Dirisha dogo apelekwe kwa mkopo SBS; akamalizie msimu; msimu ujao atakuwa fit.
Wachezaji wa tano wa Yanga watolewe kwa mkopo dirisha dogo;
1. Dube
2. Chama
3. Aziz
4. Baleke
5. Job.
Alaf Yanga ivute vyuma vipya vitano kutoka Congo
Chama na Baleke hawajapewa muda wa kucheza ili tuone vizuri viwango vyao. Aziz na Dube ni changamoto za muda ila watarudi wakisaidiwa vizuri. Job ana tatizo gani? labda ungesema Kibabage ambaye kazi kubwa ni kukimbia ila matokeo ni sifuri, tena anashindwa kurudi kukuba pale anapoenda kushambulia.
 
Ricardo Momo anasema amejitolea kwenda kumuagua Dube bila malipo yoyote
 
Ricardo Momo anasema amejitolea kwenda kumuagua Dube bila malipo yoyote
Dube hahitaji waganga,huyo momo anatafuta kiki tu,shida ya hao wanaojiita mastaa,wanatafuta kutrend kwa udi na uvumba,angekuwa na uwezo angetibu matatizo yake kwanza,ndipo asaidie wengine
 
Bado hajasema...

Timu inatumia majini, uchawi, madawa ya kuongeza nguvu,

Yote hayo sasa yamezuiliwa.

Wamerejea kwenye Form yao OG
Wacha ncheke kwanza🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…