adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Sitembei peku peku.kama ambavyo wewe wiki ijayo utagongwa na boda,hosp miaka 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitembei peku peku.kama ambavyo wewe wiki ijayo utagongwa na boda,hosp miaka 10
Alitoka na kashfa juu kuwa Azam ikiifunga Simba viongozi wananuna?. Nafikiri atajifunza mdomo ulivyomponza kichwa.Alitakiwa kubaki Azam hakuna pressure. Simba na Yanga unatakiwa kuwa na roho ngumu
Dube bado ni mchezaji mzuri, wampunguzie pressure kwa kumpumzisha angalau game 2 au 3 ili ajengewe confidence nzuri.Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.
Nakuhakikishia kuwa kila binadamu amepitia hali hiyo,sio wewe tu,na hata hao wanaokutukana,wamewahi kupitia hali kama hiyo,huo ndio ubinadamu.Jiulize je wewe umewahi kupitia shida au mateso kuliko Joshuo Nkomo?,kuliko Robert Mugabe?
Watu hao walipitia mateso makubwa lakini waliongeza bidii na wakafaulu,ndivyo na wewe nakushauri ufanye,ongeza bidii na kumtumainia Mungu tu,hivi sasa wako wapumbavu wengi sana watakuja kwako kujifanya ndio ma masiha kwako,kwamba wanamjua mganga,sangoma ambae anaweza kukutibu ulivyorogwa,kataaa,ni Mungu pekee ndio atakayekusimamisha na uwashinde hao maadui zako.
Hayo mateso yako yote yageuze yawe fursa kwako,kukuchochea ufanikiwe.Na kwa lugha ya kwenu😛amberi ne chimurenga
ushauri mzuriDube bado ni mchezaji mzuri, wampunguzie pressure kwa kumpumzisha angalau game 2 au 3 ili ajengewe confidence nzuri.
ajabu na ingekuwa kweli mbona lingefikishwa tff na yanga ingeshughulikiwa sawasawaNa umekaa ukaamini hizo propaganda yaani wajidunge sindano za kuongeza nguvu waache bomba za sindano humo ndani hata kama hawana uwezo wa kufikiri sio kwa kiwango hicho
Dirisha dogo apelekwe kwa mkopo SBS; akamalizie msimu; msimu ujao atakuwa fit.ajabu na ingekuwa kweli mbona lingefikishwa tff na yanga ingeshughulikiwa sawasawa
Hajalogwa huyu mfalme wenu bana😂😂😂😂😂😂 mpira umeisha ni kazee kale na kama kanakula shisha ndo kwisha habari yake😂😂😂Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.
Nakuhakikishia kuwa kila binadamu amepitia hali hiyo,sio wewe tu,na hata hao wanaokutukana,wamewahi kupitia hali kama hiyo,huo ndio ubinadamu.Jiulize je wewe umewahi kupitia shida au mateso kuliko Joshuo Nkomo?,kuliko Robert Mugabe?
Watu hao walipitia mateso makubwa lakini waliongeza bidii na wakafaulu,ndivyo na wewe nakushauri ufanye,ongeza bidii na kumtumainia Mungu tu,hivi sasa wako wapumbavu wengi sana watakuja kwako kujifanya ndio ma masiha kwako,kwamba wanamjua mganga,sangoma ambae anaweza kukutibu ulivyorogwa,kataaa,ni Mungu pekee ndio atakayekusimamisha na uwashinde hao maadui zako.
Hayo mateso yako yote yageuze yawe fursa kwako,kukuchochea ufanikiwe.Na kwa lugha ya kwenu😛amberi ne chimurenga
list yako ni batili ulipomuweka tu job. Katika nchi hii nani ni beki wa kati anayemzidi kiwango job?Dirisha dogo apelekwe kwa mkopo SBS; akamalizie msimu; msimu ujao atakuwa fit.
Wachezaji wa tano wa Yanga watolewe kwa mkopo dirisha dogo;
1. Dube
2. Chama
3. Aziz
4. Baleke
5. Job.
Alaf Yanga ivute vyuma vipya vitano kutoka Congo
Kwani Huwa wanaenda kuomba ruhusa tff mpaka useme tff yenyewe haiwezi kukubali. Mnavoshinda kwa hisaninya marefu tff Huwa wanakubali. Haya tuambie, kama ni propaganda ya maadui wa yanga, kwanini tangun hilo liwekwe wazi timu imekata pumzi?kuruka ukuta ni kosa dogo sana kulinganisha na kosa la kudunga sindano,soma sheria za fifa kwanza,utaona jinsi ilivyo hatari kudunga sindana tff yenyewe haiwezi kukubali suala hilo
Kwa taarifa yako dube hata pombe hanywiHajalogwa huyu mfalme wenu bana😂😂😂😂😂😂 mpira umeisha ni kazee kale na kama kanakula shisha ndo kwisha habari yake😂😂😂
Tatizo hujui kiswahili,naposema tff haiwezi kukubali timu inayotumia sindano,maana yake hizo fununu zingekuwa ni kweli ingeishaitisha uchunguzi mkali maana bila hivyo itagungiwa yenyewe na fifa,uwe unasoma vizuri na kama topic hujui si unyamaze kimyaKwani Huwa wanaenda kuomba ruhusa tff mpaka useme tff yenyewe haiwezi kukubali. Mnavoshinda kwa hisaninya marefu tff Huwa wanakubali. Haya tuambie, kama ni propaganda ya maadui wa yanga, kwanini tangun hilo liwekwe wazi timu imekata pumzi?
Chama na Baleke hawajapewa muda wa kucheza ili tuone vizuri viwango vyao. Aziz na Dube ni changamoto za muda ila watarudi wakisaidiwa vizuri. Job ana tatizo gani? labda ungesema Kibabage ambaye kazi kubwa ni kukimbia ila matokeo ni sifuri, tena anashindwa kurudi kukuba pale anapoenda kushambulia.Dirisha dogo apelekwe kwa mkopo SBS; akamalizie msimu; msimu ujao atakuwa fit.
Wachezaji wa tano wa Yanga watolewe kwa mkopo dirisha dogo;
1. Dube
2. Chama
3. Aziz
4. Baleke
5. Job.
Alaf Yanga ivute vyuma vipya vitano kutoka Congo
Dube hahitaji waganga,huyo momo anatafuta kiki tu,shida ya hao wanaojiita mastaa,wanatafuta kutrend kwa udi na uvumba,angekuwa na uwezo angetibu matatizo yake kwanza,ndipo asaidie wengineRicardo Momo anasema amejitolea kwenda kumuagua Dube bila malipo yoyote
Wacha ncheke kwanza🤣🤣🤣Bado hajasema...
Timu inatumia majini, uchawi, madawa ya kuongeza nguvu,
Yote hayo sasa yamezuiliwa.
Wamerejea kwenye Form yao OG
Shisha sio pombe mukubwaKwa taarifa yako dube hata pombe hanywi
Naelewa,bali nachosema dube havuti sigara,havuti shisha wala hanywi pombeShisha sio pombe mukubwa
Sasa shida nini kwa huyu kijana mkuu yanga mmemloga huyu mfalme wenuNaelewa,bali nachosema dube havuti sigara,havuti shisha wala hanywi pombe
Kijana alitaka changamoto mpya.Alitakiwa kubaki Azam hakuna pressure. Simba na Yanga unatakiwa kuwa na roho ngumu
Ukimsikiliza ni kama kalogwa japo mie nahisi ana msongo wa mawazoSasa shida nini kwa huyu kijana mkuu yanga mmemloga huyu mfalme wenu