M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 256 Oct 16, 2013 #1 bongo movie said: hello ndugu, mi ni mwenyeji wa mwanza! jinsia ni me, kama kuna me mwenzangu from n.i.t kutoka mwanza angependa tuishi wote ghetto pliz anitafute pm! ni hayo! Click to expand... Yego! Kwa nini ukaishi "Ghetto"? Umeshindwa kupata Vyumba kwenye Nyumba zilizo maeneo ya kistaarabu mpaka umelazimika kuishi "Ghetto"? Ngoja waje wengine wanataka kuishi "Ghetto"!
bongo movie said: hello ndugu, mi ni mwenyeji wa mwanza! jinsia ni me, kama kuna me mwenzangu from n.i.t kutoka mwanza angependa tuishi wote ghetto pliz anitafute pm! ni hayo! Click to expand... Yego! Kwa nini ukaishi "Ghetto"? Umeshindwa kupata Vyumba kwenye Nyumba zilizo maeneo ya kistaarabu mpaka umelazimika kuishi "Ghetto"? Ngoja waje wengine wanataka kuishi "Ghetto"!