MahinaVeterani
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 710
- 256
hello ndugu,
mi ni mwenyeji wa mwanza! jinsia ni me,
kama kuna me mwenzangu from n.i.t kutoka mwanza angependa tuishi wote ghetto pliz anitafute pm!
ni hayo!
Yego! Kwa nini ukaishi "Ghetto"? Umeshindwa kupata Vyumba kwenye Nyumba zilizo maeneo ya kistaarabu mpaka umelazimika kuishi "Ghetto"? Ngoja waje wengine wanataka kuishi "Ghetto"!