Hisia. Feeling.
Kwa mtazamo wangu, utamu au raha ya tendo la ndoa imebebwa na hisia alizonazo mtu kwa yule anaye-do naye.
Kama una-do huku feeling zako ziko mbali, au zipo nusu-nusu, huweza kusikia utamu.
Wapo baadhi ya wanaume ambao husema wanainjoi sana kwa mchepuko kuliko kwa mkewe, tena kwa mkewe wakati mwingine uume hausimami kabisa, lakini ukweli ni kuwa, pale kwa mkewe haweki hisia zake zote wakati wa kusex kama afanyavyo kule kwa mchepuko.
Mkewe anamuona ni mke tu, bali mchepuko anamuona kama mtu wa kumpa utamu, so, lazima atainjoi kule zaidi.
Sasa huyo mwanamke wako, mwambie asiwaze kingine zaidi ya kile mnachofanya wakati ule.
Mwambie afuatilie vidole vyako vinakopita ktk mwili wake, sio afuatilie mende na panya zinazopita hapo chumbani kwenu!!
Kisha kama una tabia ya kukaa uchi kila wakati mnapokuwa pamoja, basi upunguze.
Anaweza akawa anatoa kasoro sehemu za mwili wako kwa kulinganisha na mwanaume mwingine aliyewahi kuwa nae au aliowaona kwenye luninga au kwingine!
Baada ya mchepuko wangu wa mwisho kuolewa(nami nikishiriki kama kaka yake), sasa nimerudisha hisia zangu zote kwa mke wangu, na ninainjoi sex kinoma, tchao!
Sent using
Jamii Forums mobile app