Kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa ,na kutokusikia raha ya tendo la ndoa

Kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa ,na kutokusikia raha ya tendo la ndoa

Pole zake sana Mkuu na pia pole kwako wewe.
Nashauri akamuone daktari ili apatiwe dawa zitakazoboresha hormones zake za kike
Nauchukua ushauri,watu wengi ukiwaambia wanasema humuandai vizuri,mara usimkalipie,mara amekuzoea sana,mara ana mchepuko.Hivi haiwezekani msichana akakuomba umsaidie matibabu?au kutafuta solution ya shida yake?hata kama sio mkeo au mpenzi wako?Nasema tena asante sana.
 
Hahahahaha mkuu hili ni tatizo sugu sana kwenye ndoa nyingi japo wadau wengi wanakwepa kusema huu ukweli, kwa mujibu wako huyu siyo mkeo wala Mchepuko sasa sijui atakuwa na shida gani, ila kama ni mchaga heheeheh hao wako hivyo siko zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Why wachaga mkuu?
 
Ndg mimi sio mtoto mdogo mpaka nimeamua kuandika hapa ninamaanisha,angekua amekeketwa wala nisingejishughulisha kuandika hapa,hata hivyo wanawake waliokekektwa wana enjoy sana tendo landoa na wana ham na wana tamani sana tendo,amini nakuambia sitaki kueleza mambo binafsi hapa,hapa sio mahala pake,nayajua mengi,naomba msaada wa matibabu ya mpenzi wangutafadhari.
Mkuu, labda amefikia mennopause mapema?
Tunaambiwa kuna umri mwanamke akifikisha yeye na hayo mambo yanakuwa vitu viwili tofauti...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo sababu nyingi (,1) vidonge vya uzazi hata k.m. inakauka hana love liquid.(2) Kama size ya penis is relatively ndogo kuliko size ya k. yake hapati maximum mkuno hivyo hupoteza hamu na wewe.( 3)Kuzaa kunatanua size ya k. Kama hajafanya mazoezi ya kurudisha size ya zamani atakosa hisia maana hasikii kitu kikiingia,(4) tabia ya kumfokea bila sababu unampotezea hamu kwako na tendo hilo kwako halipendi ukiwa naye.Kazi nyingi na msongo wa Mawazo (stress) ni adui wa sex hata kwa me sio me peke yao. Ongezeni wajuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye tabia ya kufokewa bila sababu za msingi..... Dahhh..... A very good observation.
 
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke?
kuna matibabu ya matatizo hayo?
Angalizo mimi ni me,kwa niaba ya mpenzi wangu nimeuliza haya.
Ngoja nikupe idea kidogo..... Wakati yeye anakosa hamu au kutokupenda kufanya tendo na wewe jua yupo ambaye anahamu ya kufanya naye tendo.... Nimefikiri NEGATIVE sorry
 
Hahahahaha mkuu hili ni tatizo sugu sana kwenye ndoa nyingi japo wadau wengi wanakwepa kusema huu ukweli, kwa mujibu wako huyu siyo mkeo wala Mchepuko sasa sijui atakuwa na shida gani, ila kama ni mchaga heheeheh hao wako hivyo siko zote

Sent using Jamii Forums mobile app
@Allency: Mkuu embu tengua kauli yako kidogo [emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093]
 
Lastly ni ana low libido (hamu ya tendo) ... Haina dawa labda kwa wataalamu ataongezewa hormones za kike, ila kuongeewa hormones ambazo mwili kwa muda mrefu mwili haukuzizoea itakuwa na madhara kama wachezaji wanaotumia dawa za kuongeza ngevu. Si salama . lakini ulianza naye ukaendeea naye , basi na Leo endelea naye tu.

Namhurumia nimeamua kumsaidia,wenzie wanaenjoy balaa,unajua mtu unaona tofauti kabisa,mwanamke anaanza kusisismka kwa maneno tu,anaaza kufanya vitu ambavyo hata yeye havijui,mwanamke akiwa na nyege utamjua tu,ukianza kumshikashika sehemu muhimu anaweza kupiga bao kabisa kama sio kuchafua pichu yake,lkn yeye haoni chochote hadi yeye anajishitukia,anaomba nimsaidie kutafuta matibabu..
 
Back
Top Bottom