mutu ya watu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2010
- 213
- 41
Habarin za saa hizi wanaJF,
mimi kijana wa miaka 33 naishi Dsm,nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo hapo chini, kwa ajili mahusiano ili tukijaliwa tutengeneza maisha kabisa"
1. anayehitajii kuolewa na hajawahi kuolewa
2. anayejitambua/anajua nini maana ya maisha,
3.umri miaka 24- 27,
4.mkristo'
5. mwenye hofu ya Mungu'
6.mkweli
kama unajiona angalau unasifa hizo/swali/maoni naomba unitumie PM kwa hatua nyingine,
Tafadhali tangazo hili linawahusu wanawake/mabinti makini tu.