Kwa mwanamke mwenye sifa soma hii inakuhusu

Kwa mwanamke mwenye sifa soma hii inakuhusu

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
715
Reaction score
268
Natafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 26 mwenye sifa zifuatazo;
awe mkristo
awe na elimu kuanzia kidato cha nne
asiwe na mtoto na awe hajawahi kuolewa. Kwa alie tayari ani pm ili kunifahamu mimi ni nani
 
Back
Top Bottom