Morning!
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani kabisa maisha ya u single.
Sina uhakika kama huku naweza pata mwanaume atakae nielewa na kuthamini thamani ya upendo nitakaompa ila yote kwa Mungu yanawezekana
Nahitaji mwanaume alie na utayari wa kujenga familia na anae jua thamani ya mwanamke
Mimi ni mkristo ningependa pia mwenzangu awe mkristo
Sio tegemezi na sihitaji alie tegemezi
Umri kuanzia 29+
Sina mtoto na kama mwanaume atakua na mtoto asizidi mmoja
Asubuhi njema!