Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

Mwanamke wa kwanza kupewa Majibu laini humu.
Hongera kwa kutoweka vigezo vingi vya uhitaji. Maana wengine wanawekaga vigezo vingi kama huyo mtu wanamuumba wao. Tena unakuta mtu anataka umuoe yeye na mtoto wake na vigezo juu anaweka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JF raha sana
Mwanamke akijitokeza kila mtu anamfuata pm utadhani kweli alikua na nia ya kuoa[emoji23][emoji23]

Yaani ukisoma comments unaona kila man alikua anasubiri huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Omba mungu sana
Mana watakupm wengi na kati yao kuna wakwel na wasio wakwel
Madhaifu kila mtu kaumbwa nayo na huenda yako ni madogo tu
Jiamini na fanya kile kilicho sahihi
Kila la her
 
Wewe ndo mwanamke wa kwanza kutokupata majibu ya karaha toka kwetu wanaume,tangu nijiunge humu 2013 na kuwa msomaji mgeni kuanzia 2000,
hongera mchumba,mola akuongoze kwa kila la kheri,na akuondolee shari na fitna zote.
Uko jf since 2000 ...duh ....Nina miaka 6
 
Duh ningekuja aisee but kigezo cha umri kimenitupili mbali
 
Morning!

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani kabisa maisha ya u single.

Sina uhakika kama huku naweza pata mwanaume atakae nielewa na kuthamini thamani ya upendo nitakaompa ila yote kwa Mungu yanawezekana

Nahitaji mwanaume alie na utayari wa kujenga familia na anae jua thamani ya mwanamke

Mimi ni mkristo ningependa pia mwenzangu awe mkristo

Sio tegemezi na sihitaji alie tegemezi

Umri kuanzia 29+

Sina mtoto na kama mwanaume atakua na mtoto asizidi mmoja

Asubuhi njema!
Npgie 0764125128
 
mbambaishaj.tu alafu smtyms hii tabia imezidi.na mnatuona wanaume humu maboya.eeeh.
Huyu manzi kiufupi niliyajenga nae pm na mimi nikawa mtu wa karibu na yeye kwa umbali.wa kijiografia lakini huezi amini ,mwanamke huyu kipindi ambacho.anatafuta bwana humu kulikua na haya yanayoendelea .
Kwanza si muwazi kabisa na kuna uwezekano mkubwa mpaka siku aliopost uzi huu alikua na bwana permanent kabisa ila ni ujanja ujanja wake kutaka kupiga watu pesa.
Nayasema haya kwa kua tulichat vizuri sana pm ila tulipopeana mawasiliano akawa mzito sana wa kupokea simu na kujibu text ,siku ya chrismas alikwenda kwa bibi ake kama maelezo yake alivyonipa but boxing day napiga simu anapokea mwanaume alafu badae eti oooh nilikua kwa family meeting na aliyepokea ni ndugu wa kiume.
Mpaka nacomeent hapa ni kua status ya mwanamke huyu wasap ilikua inaonyesha kua anavikwa pete ya ndoa na kanisani tena mbele ya watu watu sasa swali langu hapo huyu bwana aliyempa alikua wa mwendo kasi kiasi gani hadi kufikia kufanya maamuzi yote na.taratibu zote za ndoa ndani ya siku 20tu ?unaboa sana faraja badilikeni wewe na wengine wenye tabia kama zako ndio.mnaokuja.chafua sifa ya watu ambao kweli wanauhitaji wa wenza wa kuishi nao
 
Pole sana mkuu.

Kama hawa wapo wengi sana humu ndio maana tunawaambia vijana wawe makini na matapeli
 
Nicheck pm tujadili vizur swala hili ni kubwa sana tunaweza kufka mahali fulani
 
Kama umedhamiria kweli utapata maana status uliyoandika sijaona sehemu umeandika kiwango cha elimu hapo umenifurahisha lkn amabpo sijaelewa ni kwamba mwanaume asiwe tegemezi Kvp? Mm najua hakunaga mwanaume tegemezi hata kama hana kazi atazunguka kwenye mizunguko yake ya vibarua na kupata hela ya kula nyumbani.kwa ushauri ungeweka contact na unapopatikana
Tegemezii wapoo wengii tu kazi yao ni kukaa vijiwenii akitoka anald nyumbani anakula anakoga anald tena kijiwen mwanamke ndo unapambana unaumiza kichwaaa mda mwingine anakupigia sm baby naomba uniazime elf 10 kyaaaaaa
 
mbambaishaj.tu alafu smtyms hii tabia imezidi.na mnatuona wanaume humu maboya.eeeh.
Huyu manzi kiufupi niliyajenga nae pm na mimi nikawa mtu wa karibu na yeye kwa umbali.wa kijiografia lakini huezi amini ,mwanamke huyu kipindi ambacho.anatafuta bwana humu kulikua na haya yanayoendelea .
Kwanza si muwazi kabisa na kuna uwezekano mkubwa mpaka siku aliopost uzi huu alikua na bwana permanent kabisa ila ni ujanja ujanja wake kutaka kupiga watu pesa.
Nayasema haya kwa kua tulichat vizuri sana pm ila tulipopeana mawasiliano akawa mzito sana wa kupokea simu na kujibu text ,siku ya chrismas alikwenda kwa bibi ake kama maelezo yake alivyonipa but boxing day napiga simu anapokea mwanaume alafu badae eti oooh nilikua kwa family meeting na aliyepokea ni ndugu wa kiume.
Mpaka nacomeent hapa ni kua status ya mwanamke huyu wasap ilikua inaonyesha kua anavikwa pete ya ndoa na kanisani tena mbele ya watu watu sasa swali langu hapo huyu bwana aliyempa alikua wa mwendo kasi kiasi gani hadi kufikia kufanya maamuzi yote na.taratibu zote za ndoa ndani ya siku 20tu ?unaboa sana faraja badilikeni wewe na wengine wenye tabia kama zako ndio.mnaokuja.chafua sifa ya watu ambao kweli wanauhitaji wa wenza wa kuishi nao
Mmmmh una uhakika na unachokisema?

Ila pole
 
Nikwambie tu ukweli wewe ni mtoto wa kiume ni aibu sana kuongea vitu usivyokua na uhakika navyo hata kwa asilimia 1

Umenikwaza sana nikwambie tu ukweli

Sijui lengo ni nini kuanza kuandika vitu visivyo na ukweli hata kidogo
 
Morning!

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani kabisa maisha ya u single.

Sina uhakika kama huku naweza pata mwanaume atakae nielewa na kuthamini thamani ya upendo nitakaompa ila yote kwa Mungu yanawezekana

Nahitaji mwanaume alie na utayari wa kujenga familia na anae jua thamani ya mwanamke

Mimi ni mkristo ningependa pia mwenzangu awe mkristo

Sio tegemezi na sihitaji alie tegemezi

Umri kuanzia 29+

Sina mtoto na kama mwanaume atakua na mtoto asizidi mmoja

Asubuhi njema!
umeelezea vizuri sana mpaka nimekupenda sema mimi kimaisha bado sijajipanga kabisa... ila nakuombea sana dada yangu utampata aliye kuelewa kama mimi...
 
Back
Top Bottom