Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

nadhani hataki dizaini za uchebe.
 
Juzi ulituambia una mpnz ambaye unamshukuru Mungu ni sahihi na mnapendana sana wala hujutii couple yenu ila akaanza kubadilika! Ndio chanzo umeamua kusaka mpya??
 
wazee wa kitonga a.k.a mserereko mpoooooooooooooooooooooooooo
 
Hakika Tabia yako ya upole ,imethibitika ndani ya maandishi yako.

Umeandika kwa uchache ,,Kwabusara sanaaaa,, Na upekee ulonao nikwamba weee sio Mnyanyapaaji !!!.

Awe 29+ naasiwe tegemezi , akiwa na mtoto mmoja poa !!!!.......

Katika kupitia nyuzi ulowah ziandika nimegundua haya...


Unaupendo Wa dhati
Mshauri mzuri
Na kweli unaupwekee !!.

Nachukua nafasi hiii ,kukutangaza kua " Superstar who deserve to be a Wife material "".
 
Hataki mwanaume kama Baba Dangote [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtegemezi mpaka kahama jina
 
Hafu anatumia ID mbili tofaut katik maada hii,anajijibu mwenyewe n.k, ajira bado hazijatoka watu hawana kaz
Ni kweli una haki ya kuandika chochote ila sio busara kuandika kitu usicho na uhakika nacho
 
ASANTE
 
ASANTE
 
Wewe ndo mwanamke wa kwanza kutokupata majibu ya karaha toka kwetu wanaume,tangu nijiunge humu 2013 na kuwa msomaji mgeni kuanzia 2000,
hongera mchumba,mola akuongoze kwa kila la kheri,na akuondolee shari na fitna zote.
JF imeanzishwa 2006, wakati unasoma kama mgeni ulikuwa unasoma forum ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…