Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

Ginnah

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari wana JF!

Mimi ni binti wa miaka 29, makazi yangu ni Geita, kabila langu ni Mkerewe, dini yangu ni Mkristo, nina elimu ya chuo kikuu, ni muajiriwa wa kampuni moja hapa Geita. Kwa muonekano, nina rangi ya maji kunde, ni mrefu (176 cm), na nina umbo la wastani.

Mwanaume ninayemuhitaji, awe ni mkristo, kabila lolote, elimu yake walau awe na digrii moja, umri wake napenda uwe kati ya miaka 33-36. Kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM.!

Asanteni.
 
mkiachwa mnambwembwe.....!!!nenda kwenye vipindi vya mapenzi kwenye redio, huko wamejaa broken heart wenye mahangaiko kama wewe..!!!

Habari wana JF!

Mimi ni binti wa miaka 29, makazi yangu ni Geita, kabila langu ni Mkerewe, dini yangu ni Mkristo, nina elimu ya chuo kikuu, ni muajiriwa wa kampuni moja hapa Geita. Kwa muonekano, nina rangi ya maji kunde, ni mrefu (176 cm), na nina umbo la wastani.

Mwanaume ninayemuhitaji, awe ni mkristo, kabila lolote, elimu yake walau awe na digrii moja, umri wake napenda uwe kati ya miaka 33-36. Kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM.!

Asanteni.
 
Nakuomba unibeep kwenye namba 0753868912 ili tuchart kwa sms nipo kwenye eneo lako
 
Jaribu kunichek kwa cm number 0752796133 ili tuone kama tutafikia muafaka!
 
mimi hapa jamani nataka mke walahi, mabinti mnipm nitawaoa
 
Usijali utampata, mimi huwa napenda wanawake wawazi ambao wanaweza kuweka wazi hisia zao.

Ongera, utafanikiwa.
 
Habari wana JF!

Mimi ni binti wa miaka 29, makazi yangu ni Geita, kabila langu ni Mkerewe, dini yangu ni Mkristo, nina elimu ya chuo kikuu, ni muajiriwa wa kampuni moja hapa Geita. Kwa muonekano, nina rangi ya maji kunde, ni mrefu (176 cm), na nina umbo la wastani.

Mwanaume ninayemuhitaji, awe ni mkristo, kabila lolote, elimu yake walau awe na digrii moja, umri wake napenda uwe kati ya miaka 33-36. Kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM.!

Asanteni.

nikija Geita nitakutafuta!!!!!!!!! nimeshaishi ishi hapo.

ila hapa nakutakia mafanikio mema.
 
Inaonyesha wazi kabisa umesoma kwa shida sana! omba kwenye magazeti ya udaku wapo kibaoo!!
 
Ginnah ukimpata tutaarifu ili wanajukwaa wasiendelee kukutafuta.
Hapo kwenye elimu na umri sina sifa.mafanikio mema.
 
Mnataka mkioana muanzishe na shule nin? sasa elimu na mahaba kuna uhusiano? ok kila la heri my dada.
 
Back
Top Bottom