Habari wana JF!
Mimi ni binti wa miaka 29, makazi yangu ni Geita, kabila langu ni Mkerewe, dini yangu ni Mkristo, nina elimu ya chuo kikuu, ni muajiriwa wa kampuni moja hapa Geita. Kwa muonekano, nina rangi ya maji kunde, ni mrefu (176 cm), na nina umbo la wastani.
Mwanaume ninayemuhitaji, awe ni mkristo, kabila lolote, elimu yake walau awe na digrii moja, umri wake napenda uwe kati ya miaka 33-36. Kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM.!
Asanteni.