Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 795
Umegaaaawaaaa hukoooooo!........ Imeshachakaa ndo unawaletea watu hapa jamiiforums samaki iliyochacha
Heee!wewe wamcheka mwenzio wakati wewe mwenyewe umetoa tangazo hapa kuwa unahitaji serengeti boy,na una miaka 40.
Ginnah ukimpata tutaarifu ili wanajukwaa wasiendelee kukutafuta.
Hapo kwenye elimu na umri sina sifa.mafanikio mema.
Bidada degree ya nini bana?, we shida yako unataka upewe mpipi tu aka ile kitu ya Angola Libolo, acha mbwembwe na visingizio kibao vya sijui degree na kadhalika. Je huyo unayemtafuta akiwa na hiyo degree unayoitaka halafu asiwe na Libolo utamkubali?. Duh!!!!!! Geita?, ina maana hata wale maminers hawakuchekicheki hadi uje JF kutafta mchumba kwa tochi?.
Binti? uuuuuuuuuwi..... haya mama unaweza kubahatisha
Nimempata kupitia hapa hapa Jf, ana degree mbili, anaishi huku huku Geita. Tunaendelea vema.