Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

Umegaaaawaaaa hukoooooo!........ Imeshachakaa ndo unawaletea watu hapa jamiiforums samaki iliyochacha
 
Heee!wewe wamcheka mwenzio wakati wewe mwenyewe umetoa tangazo hapa kuwa unahitaji serengeti boy,na una miaka 40.
 
Bidada degree ya nini bana?, we shida yako unataka upewe mpipi tu aka ile kitu ya Angola Libolo, acha mbwembwe na visingizio kibao vya sijui degree na kadhalika. Je huyo unayemtafuta akiwa na hiyo degree unayoitaka halafu asiwe na Libolo utamkubali?. Duh!!!!!! Geita?, ina maana hata wale maminers hawakuchekicheki hadi uje JF kutafta mchumba kwa tochi?.
 
Nimempata kupitia hapa hapa Jf, ana degree mbili, anaishi huku huku Geita. Tunaendelea vema.
 
Hiyo jiulize wangapi wameitembea lakin leo umeamua kuileta humu mhh sijui kama utapata wa hivyo .
 
Back
Top Bottom