Kwa Mwanza, wapi nitapata KYB Shocks? Genuine and New?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma).

Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads.

Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la Mwanza, nitapata duka gani?
 
Mkuu Boeing 747 , pitia hapa utupe mawili matatu kuhusu ubora wa shocks za KYB.
 
Mkuu kuhusu KYB wala usiwaze....ni miongoni mwa shockup nzuri sana zilizopo sokoni na bei yake ni ghali kulinganisha na products nyingine zinazotoka China mng'ato

Shukrani sana mkuu.

Ninapo nunua shock ups za mbele, ni pamoja na zile coil spring? Yaani inapotajwa 'front shock up' inajumuisha na coil spring? ama coil spring ni separate item na inauzwa separately?

Kama shocks na coil springs vinauzwa separately, je ni afya kuweka shock ups mpya na ukaendelea na springs zile zile za zamani zilizopo? Ama ni muhimu kubadili vyote viwili?
 
Zimesimamia ukucha mkuu, ziko imara kama mashine iliopakwa mundende 😁✔️
 
Springs sio lazma ubadili kila mara,gari inakuja na spring imara sana kiasi kwamba kuharibika kwake ni muda mrefu sana inachukua.
 
Zimesimamia ukucha mkuu, ziko imara kama mashine iliopakwa mundende 😁✔️

Hahahaa, poa mkuu. Ngoja nikazisake jijini Mwanza then nienjoy long trips mwisho wa mwaka. Trips zangu mostly ni rough road. 😁
 
Springs sio lazma ubadili kila mara,gari inakuja na spring imara sana kiasi kwamba kuharibika kwake ni muda mrefu sana inachukua.

Well noted. Nitabadili shock up, springs nitarudishia hizi hizi zilizopo.
 
Hapana mkuu...coil spring zinadumu muda mrefu sana..
Unaweza ukabadili shockup hata mara tatu lakini coil spring zikawa bado zinadai..

Wakati wa kufungua fundi atakukagulia na kukupa maoni yake.

Kama ni gari ndogo naamini coil spring bado zipo imara sana
 

Thanks sana mkuu.
 
Wakuu, hivi shocks za KYB ni bei gani kwa Dar? New genuine KYB. Kwaajili ya Toyota IST
 
Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma).

Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads.

Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la Mwanza, nitapata duka gani?
KYB sio soft mkuu, they are kind of stiffened hasa zile gas filled ambazo mi natumia na ndio maana zinadumu.

Soft shocks zinawahi kuharibika tena kwa wewe wa rough road sikushauri kabisa utumie ma soft yale kama ya mafuta ndio chap siku ukipiga tuta bahati mbaya umeziua.
 
nina yangu moja ya kulia inavuja oil kama nguruwe alie period..[emoji125][emoji125]

Ila ninaipenda nikiingia kwenye kashimo inatoa kamlio flani amazing Kama vile unatoa upeppo kwenye tairi..[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…