Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuhusu KYB wala usiwaze....ni miongoni mwa shockup nzuri sana zilizopo sokoni na bei yake ni ghali kulinganisha na products nyingine zinazotoka China mng'atoMkuu Boeing 747 , pitia hapa utupe mawili matatu kuhusu ubora wa shocks za KYB.
Mkuu kuhusu KYB wala usiwaze....ni miongoni mwa shockup nzuri sana zilizopo sokoni na bei yake ni ghali kulinganisha na products nyingine zinazotoka China mng'ato
Springs sio lazma ubadili kila mara,gari inakuja na spring imara sana kiasi kwamba kuharibika kwake ni muda mrefu sana inachukua.Shukrani sana mkuu.
Ninapo nunua shock ups za mbele, ni pamoja na zile coil spring? Yaani inapotajwa 'front shock up' inajumuisha na coil spring? ama coil spring ni separate item na inauzwa separately?
Kama shocks na coil springs vinauzwa separately, je ni afya kuweka shock ups mpya na ukaendelea na springs zile zile za zamani zilizopo? Ama ni muhimu kubadili vyote viwili?
Hapana mkuu...coil spring zinadumu muda mrefu sana..Shukrani sana mkuu.
Ninapo nunua shock ups za mbele, ni pamoja na zile coil spring? Yaani inapotajwa 'front shock up' inajumuisha na coil spring? ama coil spring ni separate item na inauzwa separately?
Kama shocks na coil springs vinauzwa separately, je ni afya kuweka shock ups mpya na ukaendelea na springs zile zile za zamani zilizopo? Ama ni muhimu kubadili vyote viwili?
Hapana mkuu...coil spring zinadumu muda mrefu sana..
Unaweza ukabadili shockup hata mara tatu lakini coil spring zikawa bado zinadai..
Wakati wa kufungua fundi atakukagulia na kukupa maoni yake.
Kama ni gari ndogo naamini coil spring bado zipo imara sana
Adante kwa kutusahihisha..hata mkmi neno Ups limenikaa kuliko Abs..[emoji38][emoji38][emoji38]Natumai ushapata ufumbuzi wapi utapata kifaa, ila kinaitwa "SHOCK ABs" na sio "UPs" = (shock absorber)
Asante
KYB sio soft mkuu, they are kind of stiffened hasa zile gas filled ambazo mi natumia na ndio maana zinadumu.Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma).
Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads.
Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la Mwanza, nitapata duka gani?
nina yangu moja ya kulia inavuja oil kama nguruwe alie period..[emoji125][emoji125]KYB sio soft mkuu, they are kind of stiffened hasa zile gas filled ambazo mi natumia na ndio maana zinadumu.
Soft shocks zinawahi kuharibika tena kwa wewe wa rough road sikushauri kabisa utumie ma soft yale kama ya mafuta ndio chap siku ukipiga tuta bahati mbaya umeziua.