Nimejaribu kutafakari aisee sisi watu wa hali ya chini kutwa tupo fb tena bas tujadili masuala yenye kuleta ustawi lkn ajabu tunashindana kubishana masuala yasiyo na faida yoyote kwenye maisha yetu.Aisee tubadilikeni jamani dunia itatuacha .sorry kama nimemkera mtu hata Mimi pia Nina mapungufu yangu