Kwa mwendo huu mmmmh

Kwa mwendo huu mmmmh

mbwadinho

Senior Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
180
Reaction score
102
Nimejaribu kutafakari aisee sisi watu wa hali ya chini kutwa tupo fb tena bas tujadili masuala yenye kuleta ustawi lkn ajabu tunashindana kubishana masuala yasiyo na faida yoyote kwenye maisha yetu.Aisee tubadilikeni jamani dunia itatuacha .sorry kama nimemkera mtu hata Mimi pia Nina mapungufu yangu
Screenshot_20190907-002615.jpeg
Screenshot_20190907-001925.jpeg
Screenshot_20190907-001437.jpeg
Screenshot_20190907-001544.jpeg
Screenshot_20190907-001654.jpeg
 
Angalia namba ya comments za watu alafu jiulize wananufaika nini na hizo post aaaah kwakweli jamani inasikitisha loooh!
 
Back
Top Bottom