Kwa mwendo huu, nahisi Idris Sultani atafulia mapema

Umenichafulia siku sikujua unaliongelea hili lijinga chakula ya kina nape
 
Binamu ukiwa na pesa lazima uwe mzuri tu... Idris zaman hakuwa hvyo
 
Binamu ukiwa na pesa lazima uwe mzuri tu... Idris zaman hakuwa hvyo

Kweli maana sasa hivi kanoga hadi nikashangaa!
Ukimcheki unaweza dhani kadondoka kutoka USA hivi.....
Kweli pesa tamu jamani!
 
Mmh binamu ujaacha umbea tu ahahahh mic youu.....

Binamu mchawi ataacha uchawi,mlevi ataacha pombe,mzinzi ataacha uzinzi lakini sio mbea kuacha umbea.
Hii kitu haiachiki aiseee....
 
Binamu mchawi ataacha uchawi,mlevi ataacha pombe,mzinzi ataacha uzinzi lakini sio mbea kuacha umbea.
Hii kitu haiachiki aiseee....

Umeona eeh? Mi mwenyewe imeshindikana aiseeh ahahh. Vp Lakin?
 
Umeona eeh? Mi mwenyewe imeshindikana aiseeh ahahh. Vp Lakin?

Poa binamu.Mimi nipo kwenye mabadiliko,nadhani na wewe kubwa la wambea ni mwanamabadiliko.
Tukutane baada ya uchaguzi tusongeshe gurudumu letu la umbea,ile sheria ni butu hakuna kitu.
 
Tunamkaribisha kwa waliofulia, tuna picha kibao za maisha ya anasa tuliyofanya na masupastaa wengi!! Lakini hata kumi sasa hivi hatuna, tunalazimisha kuvaa mayenu wakati kitambi kilishaporomoka na tumbo karibu linaungana na mgongo kwa kukosa lishe.

teh teh teh kazi kweli kweli
 
Ulijuaje ?
 
Haaa
Jamaa mbona tayar
Na majan yasha waka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…