Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Itakuwa kweli aisee maana wakati nipo Arusha sec form six yeye alikuwa form four ma alikuwa yanki sana. sasa mimi nipo around 25 ko unaweza ku minus 3 ukapata umri wakeAnasema ana miaka 21 cjui kweli