BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Nakwambia lile panki pale juu mxyuuu kama kavaa box ha ha ha
nnvomsema baba swiss ntaambiwa nina wivu
Heheheh panki kama box la zawadi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia lile panki pale juu mxyuuu kama kavaa box ha ha ha
nnvomsema baba swiss ntaambiwa nina wivu
Heheheh panki kama box la zawadi.....
Anasema ana miaka 21 cjui kweli
Idris si anatoka na Samantha (walikua wote big brother)
hii ya wema sidhani, wema yuko na Luis munana yule mwenye nyusi kama wiper
Tunamkaribisha kwa waliofulia, tuna picha kibao za maisha ya anasa tuliyofanya na masupastaa wengi!! Lakini hata kumi sasa hivi hatuna, tunalazimisha kuvaa mayenu wakati kitambi kilishaporomoka na tumbo karibu linaungana na mgongo kwa kukosa lishe.
Hila ana akili za kitoto sana anazidisha sana ucommedy...
21 ile naonaga gahawa tu may b 24
Wiper za scania lol
Nafikiri ana miaka 21/22 coz ashawahi kudiscussiwa humu. Amemaliza A -level 2013 Mbezi high school (kama nakumbuka vizuri). Kwa hiyo ukichukulia tu ile ya kiTz ya mtoto kuanza shule akiwa na miaka 7 unapata umri wake vizuri
Nyusi kama wiper na panki la shaba ranks
Mw Unazungumzia ile scania ambayo inaweza funikwa na shati la lemutuz au..Teh Teh
Nakwambia lile panki pale juu mxyuuu kama kavaa box ha ha ha
nnvomsema baba swiss ntaambiwa nina wivu
Idris si anatoka na Samantha (walikua wote big brother)
hii ya wema sidhani, wema yuko na Luis munana yule mwenye nyusi kama wiper
Hahahahaaaa jamaa nasubiri Davis Mosha apigwe chini huko Moshi Mjini la sivyo tutakoma mjini hapa.