Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngja waje machawa, utajuta. A president by default!Wanawake hawafai kuongoza
Bora ziendelee Kuwa siri,kwani kuliko kubwa tumeshaa mua kubinafsisha,hivyo mwekezaji atajitusgamoo🤔.Acha sasa tuendelee kwikwiba,hata nasisi tuwe miongoni mwao wawekezaji tunao wakaribisha😂😂😂Kitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption.
Hata Bunge halitakuwa na mamlaka ya kuzijadili
KakaKitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption.
Hata Bunge halitakuwa na mamlaka ya kuzijadili
Kesi ya swala,kupelekwa kwa chui🤸🤸🤸Kaka
Mbuzi ya bwana joni, shamba la bwana joni! Kuna kesi kweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kesi katu hapoKaka
Mbuzi ya bwana joni, shamba la bwana joni! Kuna kesi kweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke aliumbwa kuwa msaidizi wa mwanaumme. Nawe mwanamme ukimchukua mwanamke uwe na cha kusaidiwa la, atajisadia kwa jinsi aonavyo ikiwa ni pamoja na kukutawalaWanawake hawafai kuongoza
Wanataka lazimisha wakati uwezo wao mdogo kazi kurembua machoMwanamke aliumbwa kuwa msaidizi wa mwanaumme. Nawe mwanamme ukimchukua mwanamke uwe na cha kusaidiwa la, atajisadia kwa jinsi aonavyo ikiwa ni pamoja na kukutawala