Kwa mwanzo wengine walikuwa hawashindani? Hoja nyepesi hiyo kuna tatizo mahali tusipo lifanyia kazi hatufiki kokote , tumechoka fedhea za yangaTatizo mnataka kila match mshinde wakati ligi ni ya ushindani na kila timu inataka ijiweke mahali pazuri,kushinda mnaweza shinda ubingwa huo Ila kwa kujua mnashindana na wengine na mpira unamatokeo matatu
Mkuu hili wewe halikuhusu wewe angalia ya jangwani tuTatizo ni kwamba 'pumzi'.......... pumzi inaka sana kwenu..
unakumbuka mwishoni mwa mzunguko wa kwanza uliopita...? mliishiwa pumzi mechi za mwisho!
sasa mzunguko huu mnaanza kuishiwa pumzi mapema mno....
kazi mnayo! mngojeni Okwi aliyecheza mechi 1 ndani ya miaka 2 aje kuwasaidia.
sioni tatizo katika kuwashauri kuepukana na matatizo ambayo yatawaletea aibu kubwa mwisho wa msimu......Mkuu hili wewe halikuhusu wewe angalia ya jangwani tu
Hapana Mkuu!Subiri tutakapo kuomba ushauri ndipo utushauri mkuu
Ufumbuzi ni nini hapo mkuuWachezaj wamechoka, kipnd kile kocha alkuw anawatumia viungo kushambulia bt nw kabadil mbinu kaona awatumie tu washambuliaj wake magalasa bt kafikir hilo wakat akna kichuya mzamiru washachoka nd maan unaona nyuma na kat papo fresh ila mbele nd tatzo so hapo tuombe tu mungu maana droo tutakuwa nazo nyng sana
Tusubiri tuone itakuwa vipi. Ubingwa kila timu inauhitaji. Hata Azam bado yumoUhitaji wetu ni kutwaa ubingwa wa vpl mwaka huu
Hofu yangu tusije kushuka kutka kudraw mpaka kufungwaKwanini tusifike ???
Kwani kuna shida gani??
Huez uka maintain constitency ya kutofungwa mda mrefu lazima kuna wakat uta draw ama kufungwa ...lakin sio kwamba eti ndo hujui unakoenda kwamba ulikua unashinda sana halaf umeanza ku draw ama kufungwa ni jambo la kawaida
Muhimu lengo la timu lisipotee
Timu nazo zimejiandaa ...mi naona hatuna shida ...tuendelee kupiga mpira ..tusiangalie nyuma tuangalie ya mbele ...cha muhim ni kujitahid kutofungwa
Mkuu nikuambie tu tuko vizuri sana. We tulia tu.Hofu yangu tusije kushuka kutka kudraw mpaka kufungwa