Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo n kutafta mshambuliaj wavkueleweka tu maan km mipira inafka bt wa kumalzia hayupo c mara mia angebak kiiza mkuu?Ufumbuzi ni nini hapo mkuu
Kufungwa hapana, nyuma papo poa mkuuHofu yangu tusije kushuka kutka kudraw mpaka kufungwa
mmeanza kukanana mapema hivi?angalia msijeng'oana meno huko mbeleni.Hii si post Ya Mshabiki/Mwanachama/Mpenzi Wa Simba! Wala si Post Ya Mtu Anaejua Mpira.....
Ni Post Ya YeboYebo Aliyekuja Kwa Style Nyengine tu.....
Achana na Simba! Unaeishiwa Pumzi Ni Wewe 4G FC na Wala Sio Simba imara inayosubiri Kusherehekea Ubingwa......
Hahahaha! Mtasubiri sana
Simba tualinza vzr lakn mwishoni mwa raundi ya kwanza tukaanza kuharibu.
Ile kasi ya mwanzo sasa sioni tena.
Kwenye kombe la mapinduzi tualianza vizuri lkn baadae tukaanza kuchechemea.
Niseme kweli hata kumtoa yanga tulibahatisha tu.
Tumeingia fainali tumeambulia kipigo toka kwa azam.
Tumecheza ligi kuu na mtibwa tumeishia kutoa draw.
Kwanini tunapoteza pumvi hivi?
Kama shabiki na mpenzi wa mnyama naomba kujuzwa tatizo liko wapi?
Muulize kichuyaSimba tualinza vzr lakn mwishoni mwa raundi ya kwanza tukaanza kuharibu.
Ile kasi ya mwanzo sasa sioni tena.
Kwenye kombe la mapinduzi tualianza vizuri lkn baadae tukaanza kuchechemea.
Niseme kweli hata kumtoa yanga tulibahatisha tu.
Tumeingia fainali tumeambulia kipigo toka kwa azam.
Tumecheza ligi kuu na mtibwa tumeishia kutoa draw.
Kwanini tunapoteza pumvi hivi?
Kama shabiki na mpenzi wa mnyama naomba kujuzwa tatizo liko wapi?
Toeni rushwa mkamatwe mshushwe daraja mkajipange upya huko na lipuliUfumbuzi ni nini hapo mkuu
Kwani azam waliwafanyaje?Kufungwa hapana, nyuma papo poa mkuu
hesabu za ubingwa Ni kila mechi Ni ngumu,kila mechi cheza kama fainali nyie mnaiwaza yanga Tu poleni itakula kwenuSimba amebakiza mechi 1 tu ngumu lakini Yanga amebakiza mechi 3 ngumu, kwa mahesabu ya haraka simba bingwa.