Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Ni kichaa tu ndio anaweza kutumia nguvu na kumshobokea msanii na kutumia nguvu nyingi kumnadi hali ya kuwa hakuvishi,hakulishi na wala hakuzibui tigo yako unazibuliwa na watu wengine.
Mzee baba mbona unatukana hivyo?
 
Ni kichaa tu ndio anaweza kutumia nguvu na kumshobokea msanii na kutumia nguvu nyingi kumnadi hali ya kuwa hakuvishi,hakulishi na wala hakuzibui tigo yako unazibuliwa na watu wengine.
Nimemshibokea Nani? We ulikuwa unapondea mashairi na ujumbe sa nikashangaa umetaja nisamehe ndio nikakuuliza nisamehe ipi..au unasababu zako binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…