Kwa mwenendo huu, siku moja serikali ya Tanzania itakuwa ya kijeshi

Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya kijeshi kama ilivyo

Wanaopindua nchi sio Askari wa vyeo vya juu bali ni wa vyeo vya chini ambao nao hunyanyasika.
 
Kwa hali hii, haiwezi kuwa muda mrefu ujao

Haiwezekani uongozi wa serikali hii uwe na impunity ya kiwango hiki, wanakiuka sheria na katiba waziwazi

Hiki ndicho kilichosababisha Jeshi la Bukina Faso chini ya Ibrahim Traore liliamua kuwafurusha wanasiasa na kuchukua usukani wa kuongoza nchi

The situation is escalating to that point
 
Je Wajua: Wanawake ni viumbe wanaoongoza na hisia zaidi kuliko utimamu.
 
Bora iwe hivyo maana wakina tlaatlaah,chiembe,Lucas mwashamba watakunya povu maana itakuwa mwisho wa buku saba
Mori, Ari, ujasiri uthubutu, sio jadi ya Mtanzania, hitimisho lake haiwezekani mapinduzi. Lakini mmewahi kuwaza kulazimishwa na wajeda kulala saa 12 jioni kama wafungwa ?.
 
Watu huwa wanachoka, nadhan ukitaka kuelewa hilo jiulize kwa nini wanatoa siri kwa watu fulani ili kuwanusuru!
Lakini si kwa jeshi. Jeshi letu ni kitu kingine. Tuna bahati kuwa na jeshi la aina tulilo nalo
 
Hakuna jeshi wala mwanajeshi Tanzania wako/yuko upande wa wananchi..wao ni sehemu kubwa ya kinachotokea Tanzania.
 
Nadhani hili ni fundisho tosha, ingawa wahusika wanaona wako pamoja na viongozi wa juu wa majeshi
 
Hakuna jeshi wala mwanajeshi Tanzania wako/yuko upande wa wananchi..wao ni sehemu kubwa ya kinachotokea Tanzania.
Ni kweli, lakini tujifunze kwa wenzetu, nini kilitokea?
 
Sikuzote tetesi huanza na minong'ono
 
Eti bora ikawa hivyo. Tuulize wenzio walivyokuwa kule seem fulani tulikuwa tunaingia ndani saa kumi na moja jioni.
Sio mbaya mkuu, kuliko mauaji na upotezaji wa watu unaoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…